Mke wa nabii azimia na kukimbizwa kwa mganga

Mke wa nabii azimia na kukimbizwa kwa mganga

Pole sana kusikia kuhusu hali ya Mama Eda. Kwa kweli, afya ni jambo la muhimu sana na linahitaji uangalizi wa haraka, hasa pale mtu anapozimia. Ni vyema sana kuhakikisha anapata msaada wa kiafya kutoka kwa wataalamu ili kujua chanzo cha tatizo na kupata matibabu sahihi.

Tumuombee apone haraka na tuwe makini na taarifa tunazosambaza ili kuepuka taharuki zisizo za lazima. Afya yake ndiyo kipaumbele chetu sote.Pole sana kusikia habari hizi kuhusu Mama Eda. Ni muhimu sana kuhakikisha anapata matibabu sahihi na ya haraka anapokuwa anaumwa. Afya ni jambo la msingi, na hospitali ndiyo mahali sahihi pa kupata huduma za kitaalamu.

Tunamtakia Mama Eda apone haraka na arejee katika hali yake ya kawaida. Ni vyema sote kuombeana afya njema na kuepuka kuzua taharuki zisizo na msingi, hasa linapokuja suala la afya ya mtu.4eee
Kwani huyo mama eda ni nani??
 
BERAKING NEWS🚨🚨
Mama Eda anaumwa hamsemi ukweli, mnampeleka kwa waganga wakienyeji??

kwahiyo huyu aking'ata shuka nahodha atakuwa nani?yule mzanzibar wa idodomiya? makamu atakuwa nani? hebu watu waanze maandilizi ya SAFU BASI🥱maana safari hii amechokoza mwenyewe majasusi kumkamata nchimbi na kumuweka mateka ni tishio kwa majasusi wote.

mtu ameanguka kazimia mnampeleka kwa waganga badala ya hisptali?
Wanaharakati wanapenda sana kuingia "KING" kwa matango pori wanayopenyezewa na "TEETH MKAKATI".

Bado tu hawajifunzi? Waliingia king kwa Jah-car-hire kwamba kang'ata shuka akaja kuibuka na MCHINA huko sijui Dodoma hahaa.
 
Huwa wanatafuta habari zao zinavuja kupitia upande upi...

Wanaweza kutoa habari fake zenye story tofauti kwa watu hata watano tofauti...

Halafu wanakaa wanasubiri ipi kati ya hizo itavuja...
Ikitokea moja kati ya hizo habari imevuja watafahamu muhusika chap na ku deal nae...
Upo sahihi.
 
Back
Top Bottom