Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,459
- 100,799
Kila atakayeuliwa niko TAYARI kuchangia MCHELE wa msiba, UNGA, mafuta na Viti Vya Kukalia, naomba mniunge mkonoHizi ni habari nzuri sana nafarijika sana hawa hayawani wakiuana.
Wafe, tu. Kifo ni kifo allooooKuna mjumbe kapotezwa huko kusini
siwezi kuombea UJINGA, CHADEMA imezika sana sana, na wengine hawajawahi hata kuonekana, acha wauwane, nitachangia maturubaiTuombee taifa letu
Yamefanya tuwe na siku njema sana kwa leo acha yaumizane kabisaHizi ni habari nzuri sana nafarijika sana hawa hayawani wakiuana.
Tatizo,, kwa nchi ambazo hawafikirii mambo ya maana kama ugunduzi, viwanda, na utafiti, wamegeuza siasa ndiyo ajira ya kudumu. Kazi ya nchi za kijinga hizi wanawaza kukusanya Kodi na kugawana tu.Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu.
Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama chao tu ni hivi, je hali itakuwaje kwa mtu wa nje anayepingana nao?
Awamu hii tumepoteza watu wengi kwa sababu mbalimbali zenye utata. Sasa migogoro imegeuka kuwa ya ndani kwa ndani – ni wazi kuwa tunahitaji mabadiliko ya kweli, siyo kwa faida ya chama kimoja bali kwa ustawi wa taifa zima.
View attachment 3430723
View attachment 3430724
View attachment 3430728
View attachment 3430727View attachment 3430729
Taifa likiwa mikononi mwa sheitwani hata ukiombea ni kazi bureTuombee taifa letu
Kipindi tunafanyiwa ss watu wa Chadema mlikaa kimiyaa!! nani aombe!! Ombeni nyinyi wanufaika wa hayo mliyoyanzisha!!Tuombee taifa letu
wacha yauwaneTatizo,, kwa nchi ambazo hawafikirii mambo ya maana kama ugunduzi, viwanda, na utafiti, wamegeuza siasa ndiyo ajira ya kudumu. Kazi ya nchi za kijinga hizi wanaweza kukusanya Kodi na kugawana tu.
Hebu tulia kidogo kwanzaBila CCM imara taifa letu litayumba