GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KARMA is real.wanapowafanyia wengine wao wakifanyiwa wanalia bila kujua wao ndio wamewazalisha hao wanaofanya hivyo.Yaani mimi ningekua Rais wa nchi hii cha kwanza ni kupunguza maslahi ya ubunge iwe ni kama kujitolea vile .Wewe unapigania maslahi ya wananchi huku unalipwa 12m kwa mwezi kweli inaingia akilini mpaka Professor anaacha kazi yake anakuja kwenye ubunge duu hatufiki mbali lazima tuchomeane nymba nipate 12m na si ajabu na uwaziri juu.
Watauwana na waache wauwane
 
Wiki iliyopita tumeona picha ya gari la mgombia uongozi, na malalamiko kuwa vifungia matairi - nati zilikuwa zimelegezwa
Bada picha za waendao kwa waganga na chini ya mibuyu mikubwa hazijaanza rushwaaa

Uchaguzi upite tuu - kuna maisha baada ya uchaguzi
 
Eeeeh!!! MUNGU tunaomba uendelee kushikilia hapohapo mpaka wamalizane wote hawa mbwa!!
Endelea kuwapa mioyo migumu ya kuuwana ikiwezekana vita vyao viende Hadi Kwa familia zao wauane wenyewe Kwa wenyewe... MUNGU endelea kuwafarakanisha hawa watu hadi 2030 na iwe vita kubwa Kati ya mbunge na mbunge na diwani Kwa diwani , kama ilivyokuwa kipindi cha mnara wa babeli.
Na wote tuseme AMEEEEN
 
Acha yamalizane yenyewe kwa yenyewe kwanza , bladifakens bastards . Yaani moyo wangu unajawa na uchungu nikiwaza roho za watu kama akina Mdude ,Chaula ,Soka nk zilivyopotezwa kihayawani na hawa mbwa koko na hakuna accountability mpaka leo , natamani nivae bomu niende nikayateketekeze kabisa , shenzi sana .Hii nchi inaongozwa na mahayawani
 
Mambo yanayo endelea ni makubwa sana na yanatishia usalama wa nchi ndani ya CCM.

Hawa ndio wanaoenda kuongoza nchi kweli lazima tujiulize kwa haya wanayo yafanya ni viongozi bora kweli ?

Cha kushangaza mwenyekiti na viongozi wa juu wa chama wao wapo kimya tu nimesikia wanachama wao wengine wamekamatwa na TAKUKURU.

Mpinzani wa raisi yupo gerezani, wengine wamefungiwa makanisa, wengine wamefukuzwa uanachama je mambo ni yale yale kwenye chama kizima sio kwa mwenyekiti sio kwa nani ndio maana mwenyekiti wao yupo kimya.
 
Wahuni bado wapo wengi sana huko CCM. Wanaccm zingatieni ushauri wa Polepole ili kukinusuru chama chenu na hali mbovu iliyopo sasa.
 
Back
Top Bottom