Prayallthetime
Member
- May 13, 2025
- 84
- 125
Wauane tu hata sisi tumepoteza wapendwa wetu ambao wameacha wajane na watoto wao š„
Wahuni wammeenda kuichoma gari nje tu kidogo ya kituo Cha PolisiKwamba umemficha tu, au?
Soma alichosema mollel ndipo uandike!Kwamba umemficha tu, au?
Ngoja niende....Kasikize interview ya Molel mwenyewe.
Kumbe alichofanyika ni kitendo Cha kistaarabu sio!Soma alichosema mollel ndipo uandike!
Naibu Waziri hakujua mkewe Yu wapi Hadi anapiga simu kwa DC wamtafute mkewe,Ngoja niende....
Wamefikiwahuyu Mollel sio wakutetea maana aliongea shiti mbaya kuhusu utekaji
Uki-set precedent ya uovu kwa wengine hauwezi kuishia hapoSalaam!
Kumbe sasa hata familia na viongozi wa juu kabisa inawezekana kufikiwa na watekaji Wasiojulikana.
Sasa Naibu Waziri , Mkewe kutekwa ,kupigwa, hili limekaaje?
Nawasilisha š
Ndio wamteke mke wa Waziri,Nan kasema hawajulikani,hao ni secret service.
Ila nini kimetokea?Umezidisha chimvi,hajatekwa!
Mama anasema ni drama tu hakuna uhalifu hapo na pia kifo ni kifo tušššSi jambo zuri ila Imebidi nicheke , kwanini unafurahia uhalifu kiongozi
Ndo wanaoratibu kutekana.Ukishakuwa na chama kilichoko madarakani, huwezi epuka kuambatanisha vitu viwili Chama+Usalama wa Taifa
Tukubali tukatae chama kilichoko madarakani ndio engine ya nchi, suala la msingi ya utendaji kazi ya T.I.S.S linabaki kuwa kwao na mratibu wake mkuu..
Tuko pamoja mkuu wangu haya majitu ni mashetani hayastahili kuishi hata sekunde moja.Kila atakayeuliwa niko TAYARI kuchangia MCHELE wa msiba, UNGA, mafuta na Viti Vya Kukalia, naomba mniunge mkono
Unaamini kabisa wapo kwa manufaa ya wananchi?Inafikirisha sana,yaani watu hadi wanapata hasara wengine kuumizana kisa wakawatetee wananchi shida zao?
Hakika wana mioyo mizuri sana.
Wamebutuana hawajatekanaSalaam!
Kumbe sasa hata familia na viongozi wa juu kabisa inawezekana kufikiwa na watekaji Wasiojulikana.
Sasa Naibu Waziri , Mkewe kutekwa ,kupigwa, hili limekaaje?
Nawasilisha š