GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wa
Ukishakuwa na chama kilichoko madarakani, huwezi epuka kuambatanisha vitu viwili Chama+Usalama wa Taifa

Tukubali tukatae chama kilichoko madarakani ndio engine ya nchi, suala la msingi ya utendaji kazi ya T.I.S.S linabaki kuwa kwao na mratibu wake mkuu..
Wako busy kuweka mifumo itakaywahakikishia kuwa uchafuzi unafanikiwa, kwa gharama yoyote
 
Ukishakuwa na chama kilichoko madarakani, huwezi epuka kuambatanisha vitu viwili Chama+Usalama wa Taifa

Tukubali tukatae chama kilichoko madarakani ndio engine ya nchi, suala la msingi ya utendaji kazi ya T.I.S.S linabaki kuwa kwao na mratibu wake mkuu..
Kwa hiyo RUSHWA inayoendelea huko ccm ina baraka zote za TISS? Basi sawa ccm ni chama dola
 
Salaam!

Kumbe sasa hata familia na viongozi wa juu kabisa inawezekana kufikiwa na watekaji Wasiojulikana.

Sasa Naibu Waziri , Mkewe kutekwa ,kupigwa, hili limekaaje?

Nawasilisha 🙏
Wacha apigwe huyo naibu waziri mollel alikuwa mjinga mjinga sana .alikuwa anasema chadema wanatekana.haya sasa hao waliompiga mkewe ni chadema.wacha avune alichopanda.
 
Back
Top Bottom