Naye hajulikani alipo mara ya mwisho alionekana Uyole na mapacha wake 🐼
Bahati mbaya situmii hicho kinywaji pendwa, hakika ningeungana na wewe.Kabisa mimi kila atakae jeruhiwa najipongeza na bia baridiiii
CCM inakufa hivyo hakuna wanaweza kufanya miti yote inateleza sasa.Mambo yanayo endelea ni makubwa sana na yanatishia usalama wa nchi ndani ya CCM.
Hawa ndio wanaoenda kuongoza nchi kweli lazima tujiulize kwa haya wanayo yafanya ni viongozi bora kweli ?
Cha kushangaza mwenyekiti na viongozi wa juu wa chama wao wapo kimya tu nimesikia wanachama wao wengine wamekamatwa na TAKUKURU.
Mpinzani wa raisi yupo gerezani, wengine wamefungiwa makanisa, wengine wamefukuzwa uanachama je mambo ni yale yale kwenye chama kizima sio kwa mwenyekiti sio kwa nani ndio maana mwenyekiti wao yupo kimya.
Tuombee taifa letu
Tuombee taifa letu
Taifa lenyewe lipo basi? Nchi inaendeshwa na chamadola acha walane nyama kama kule DRC.Tuombee taifa letu
Kabisa maana wanaona kama ni mzaaWakiaanza kutekwa hawa watekaji ndiyo akili zitawakaa sawa
Mapolisi waliwakamata?Wahuni wammeenda kuichoma gari nje tu kidogo ya kituo Cha Polisi
😅😅Naye hajulikani alipo mara ya mwisho alionekana Uyole na mapacha wake 🐼
Sawa kabisa hata mie naunga mkono hoja!!Kila atakayeuliwa niko TAYARI kuchangia MCHELE wa msiba, UNGA, mafuta na Viti Vya Kukalia, naomba mniunge mkono
Tuombee wapi wkt makanisa yanafungwa?Tuombee taifa letu
Kabisa kabisaHizi ni habari nzuri sana nafarijika sana hawa hayawani wakiuana.