GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
9FD906E0-6971-4AA0-A4C0-C6E2AF83257D.jpeg
 
Wakat

Wakati wewe Mangitz na wenzako mnafurahia watekaji watu waliwaambia kuwa ipo siku upepo utageuka. Mungu ni fundi saana
Umesoma bandiko au umekurupuka mzee ni wapi nilifurahia utekaji na tulifurahia na nani ,inanipa dhambi hizo ukiwa na uhakika gani nilifurahia hayo?
 
KARMA is real.wanapowafanyia wengine wao wakifanyiwa wanalia bila kujua wao ndio wamewazalisha hao wanaofanya hivyo.Yaani mimi ningekua Rais wa nchi hii cha kwanza ni kupunguza maslahi ya ubunge iwe ni kama kujitolea vile .Wewe unapigania maslahi ya wananchi huku unalipwa 12m kwa mwezi kweli inaingia akilini mpaka Professor anaacha kazi yake anakuja kwenye ubunge duu hatufiki mbali lazima tuchomeane nymba nipate 12m na si ajabu na uwaziri juu.
Hiyo milioni 12 mbona kidogo, sahivi wanalipwa karibia 18M. Ndio maana wanauana kila mtu anautaka ubunge.
 
Chama hakina tena viongozi wa nidhamu.

Safu ya juu ndio inaongoza kwa kutengeneza majungu huko chini.

Haya ndio matunda ya majungu yao, ni vurugu machi kwenda mbele kipindi hiki cha uchaguzi ndani ya CCM.

Ushindi ni kwa ‘hook and crook’ methods; ruksa as far as kamati kuu is concerned.
 
Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu.

Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama chao tu ni hivi, je hali itakuwaje kwa mtu wa nje anayepingana nao?

Awamu hii tumepoteza watu wengi kwa sababu mbalimbali zenye utata. Sasa migogoro imegeuka kuwa ya ndani kwa ndani – ni wazi kuwa tunahitaji mabadiliko ya kweli, siyo kwa faida ya chama kimoja bali kwa ustawi wa taifa zima.


View: https://www.instagram.com/reel/DM7PpWKt-JC/?igsh=c2dkbDh6Z25rZzly

View attachment 3430723
View attachment 3430724
View attachment 3430728

View attachment 3430727View attachment 3430729

Yamewafika sasa ... Na Badoo..
Ee Mungu endelea waumbua hawa mashetani..
 
Back
Top Bottom