GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

GE2025 Mke wa Naibu Waziri, Dkt. Mollel (CCM) adaiwa kutekwa; Mgombea Udiwani ashambuliwa...

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Askofu Bagonza amekwisha kusama "Njia ya uhakika ya kulinda kura yako ni kubaki nayo mwenyewe, ukiitumbukiza kwenye sanduku la kura tu umeibiwa. No Reforms No Election"
 
Unaweza ukakuta maigizo na kutafuta huruma kwa wapiga kura.
 
Yanayoendelea ndani ya CCM kwa sasa yanatia wasiwasi. Kumekuwa na taarifa za vurugu, vitisho, na migogoro ya ndani ambayo inapaswa kutazamwa kwa jicho la tahadhari na huruma kwa mustakabali wa demokrasia yetu.

Nashukuru sana Mheshimiwa Tundu Lissu kwa maono ya mbali – kama hali ndani ya chama chao tu ni hivi, je hali itakuwaje kwa mtu wa nje anayepingana nao?

Awamu hii tumepoteza watu wengi kwa sababu mbalimbali zenye utata. Sasa migogoro imegeuka kuwa ya ndani kwa ndani – ni wazi kuwa tunahitaji mabadiliko ya kweli, siyo kwa faida ya chama kimoja bali kwa ustawi wa taifa zima.


View: https://www.instagram.com/reel/DM7PpWKt-JC/?igsh=c2dkbDh6Z25rZzly

View attachment 3430723
View attachment 3430724
View attachment 3430728

View attachment 3430727View attachment 3430729

Mollel alisema hamna vitendo vya utekaji ni kuzua taharuki. KARMA IS REAL.✍️📌
 
Maiti yake bado haijapatikana huyu mke wa kipua?
1754304807159.png
 
Back
Top Bottom