Mke wa Padri

Mimi namfahamu mama mmoja mke wa mtu anamegwa na Padre mmoja live kabisa! Jamaa kapewa cheo cha mweka hazina wa kanisa. Jamaa akisafiri baba paroko anaenda kummega mama kitandani kwa jamaa kabisa. Huyu baba paroko kaamishiwa kwingine lakini mke huyu wa mtu anamfuata hukohuko.
Nilimuuliza huyo padre kuwa kweli anaweza kuniungamisha wakati najua naye ni mzinzi? Mimi baada ya kujua hilo sikusali kanisani kwake hadi alipoondoka. Ilibidi nihamie kanisa lingine. Inasadikika kuwa mapadre wengi wana familia zao (kwa maana ya ana mke na watoto pia). Hao ndio wachungaji wa kondoo wa bwana.

Niliwahi kusema hapa hapa NI KWA NINI HAWA MAPADRE WA KANISA KATOLOKI WASIRUHUSIWE TU WAOE KULIKO KUISHI DAMBINI? Kwa nini wanapalilia njia ya kwenda motoni hivyo?
 

Ah...pengine wanajua wanachokifanya..HUENDA HATA HUKO MOTONI WAMEKUBUNI TU, WALA HAKUPO!
 
Ah...pengine wanajua wanachokifanya..HUENDA HATA HUKO MOTONI WAMEKUBUNI TU, WALA HAKUPO!


:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

EEh kweli umejipindia! Ila hala hala usitutotoroke getini siku ukihakikishiwa uwepo wake!
 
:becky::becky::becky::becky::becky::becky::becky:

EEh kweli umejipindia! Ila hala hala usitutotoroke getini siku ukihakikishiwa uwepo wake!

Aithee kiongodhi, thatha daktari akianza kukwambia 'hii ni thumu, ukijidunda utakufwa!' halafu anaandha yeye menyewe kujidunga wewe utamchukulieje? je inaleta maana??
 

Mambo ya mapenzi yako kama kimiminika kiitwacho zebaki (mercury). Zenaki ukiiweka kwenye chombo chenye umbo la mviringo inakuwa ya mviringo. Ukiimimina kwenye chombo chenye umbo la mraba ina kuwa na umbo la mraba, kwenye chombi chenye umbo la pembe tatu kinakuwa na umbo la pembe tatu. Nataka kusema mapenzi hayachagui mtu.

Anybody can look a fool when falling into love. Kuna wakati nili'fall into love' na mshichana fulani kutoka Uganda na tulikuwa tunasoma lugha pamoja huko Malawi. Siku alipokuwa haji darasani nilikuwa 'restless'. Ikabidi siku moja nipige moyo konde na kumwendea chumbani mwake na kumwambia nilivyokuwa nijisikia na kuhangaika. Ila nilimwomba anielewe na asidhani nataka nilale naye. Bahati nzuri alinielewa na akanishukuru kwa kujitambua. Aliniambia kuwa aliona nilikuwa tofauti na wanaume wengine katika kundi letu kwani wengine walikuwa wakimsumbua sana na walitaka walale naye lakini aliwakatalia wote.

Kwa upande wangu, nilipomwambia vile, tangu siku hiyo niliona mabadiliko katika fikira zangu. Ile hali ya kunisumbua kupita kiasi ikawa imekoma na tulimaliza muda wa chuo bila kufanya naye mapenzi ila tulishirikiana sana na hata kwenye 'outings' tulikuwa tunaenda pamoja.

Hivyo, inategemea jinsi gani mtu anavyoweza kupokea hisia zake na namna ya kuzielekeza zisimpe au kumfanya awe wa ajabu. Mtu anaweza kuwa padre asiwe bado ame'fall into love' na ikijakutokea kwake anashindwa namna ya kufanya: 1) anaona aibu kusema kwa wenzake 2) hisia zinaweza kumfanya akose usingizi kila siku 3) anaweza kushawishika afanye mara moja tu na kuacha kabisa (wakati mwonja asali huchonga mzinga).

Kwa kifupi, mapenzi yanamfanya kila mmoja wetu aonekane kioja mbele ya wengine! Hakuna shujaa!
 

Ila wakatimwingine ni habari za kupika. Padre akionekana na msichana fulani kwenye gari mambo yanasemwa mengi tofauti kama akiwa mvulana (ingawa siku hizi kama mvulana naye anaonekana mara kwa mara na padre watu wanaanza kubuni hadithi). Nilishasema kuna faza mmoja huko Malawi aliundiwa hadithi kuwa anaenda na mke wa mtu na kuna ushahidi kabisa. Ikabidi askofu amkatae jimboni kwake. Baadaye ikagundulika kuwa gari la padre lilikuwa linafanana na gari la mume ambaye alikuwa akifanya Afrika Kusini na huyo bwana alifika jioni na kupaki gari nje ya nyumba yake.

Watu walipoona vile wakavumisha kuwa ni padre lakini cha ajabu wakaona gari lile lipo karibu wiki nzima na wakati gari la padre linatoka kila siku. Ukweli ulikua kugundulika wakati padre alishaamua kuacha ufaza baada ya kuona kuwa laiundiwa uongo, ambao hata askofu aliufanyia kazi. Mtu mmoja tu akishavumisha 'padre anaenda na mke wa jamaa' hata bila uhakika wowote watu wanaamini ni kweli.

Baadhi ya mafaza, of course, wanafanya kweli lakini siyo kweli habari ikivuma ikawa kweli pia kwa msingi wa kuvuma kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…