Mke wa pili anahitajika, awe mfanyakazi wa serikalini

Mke wa pili anahitajika, awe mfanyakazi wa serikalini

jk_watatu

Member
Joined
Mar 20, 2022
Posts
31
Reaction score
32
Sina mambo mengi ndugu zangu, nadhani kichwa cha habari kinaeleweka.

Mimi ni mume wa mke mmoja na watoto kadhaa na tunaishi kwa upendo na amani kabisa na familia yangu, ila nahitaji mwanamke ambaye amechoka kurukiwa rukiwa hovyo na kuachwa ili nimuoe awe mke wangu wa pili.

Kigezo awe mfanyakazi wa serikali kitengo chochote kile, kama ni muhitaji fasta njoo PM.
 
Back
Top Bottom