Mke wa pili anahitajika

Mzee unataka kumiliki mbunye mbili, hiyo ya kwanza umesha imaliza utamu unataka mpya, ndo mana mabenk yanafilisika tunalima watoto badala ya mazao
 
Mm Kiukweli Nina wivu sijui kama kuna mwanaume atavumilia
Aaaahh.., Mke mwenye wivu hapana aisee, yani ukikaribia na Nyumbani inabidi uhakikishe Cm haina chembe ya Call au SMS yenye viashiria vya Jinsia tofauti, kama ni kwenye Gari uhakikishe kama unauliowapa lift hakuna walichosahau chenye kiashiria cha Ke..,
Kimsingi unatakiwa ujifute kama alieiba chakula Mwezi Mtukufu huku akihesabika amefunga!!!
 
Ivi sababu gani yakufanya kuoa mke wa pili? mkeo yuko mbali hawezi majukumu au unafanya sababu ime halalishwa?
Tumehalalishiwa kuowa wake 2,3,4 ikiwa haujimudu japo mmoja.
Ila kwasisi ambao tumehalalishiwa kubaki na mmoja ilihali una uwezo wa wawili ni upungufu wa imani na kudhibitiwa na mke.
 
Mzee unataka kumiliki mbunye mbili, hiyo ya kwanza umesha imaliza utamu unataka mpya, ndo mana mabenk yanafilisika tunalima watoto badala ya mazao
Kila mtu atavuna alichokipanda......
Wewe panda matikiti maji.
 
Tumehalalishiwa kuowa wake 2,3,4 ikiwa haujimudu japo mmoja.
Ila kwasisi ambao tumehalalishiwa kubaki na mmoja ilihali una uwezo wa wawili ni upungufu wa imani na kudhibitiwa na mke.
Hata mkuu haija khusu kuthibitiwa wala upungufu wa imani basi tuu mnajiendekeza ningeelewa kama kuna sababu ya msingi kama mke hapati watoto au anaumwa,kujitabisha kwa nini?
 
Mkeo anajua kama unataka kuongeza mke wa pili?
Ameridhia?
Kila la kheri mkuu upate hitaji la moyo wako.
Mungu ndo karidhia hakuna mke hata mmoja anaekushauri kumuongezea wa pili.
Kila kitu mshirikishe mke ila siruhusa ya kuongeza mke wa pili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…