Mke wa pili anahitajika

Mke wa pili anahitajika

Kama unaoa kwa ajili ya dini ya dini ya allah ..nakuombea kheri...but kama unaoa kwa ajili ya nyege zako pole sana..
 
Kwani mkuu hata huyo mmoja ukiowa unaowa kwa ajili ya nini?
Nijibu hapo halafu twende sawa.
 
Nachukia mnoo halaf mbona we nimekuona hapo juu unataka kuongeza
Hahahahaha nawasaidia vijana banah......tunataka huyu mleta uzi kama akipata mke,basi atuletee japo mrejesho ili tujue kweli JF kuna wife material...maana kuna wimbi kubwa la vijana wanaotafuta
 
Yaani nasikitika sana wadada hawataki kuolewa bali wanataka kulowewa.
Ningekuja na uzi wa kwamba natafuta wa kula nae bata kwenye macasino wangekuja kwa wingi.
Lakini sio mbaya kwa vile hawataki kuolewa basi siwalazimishi kesho nafunga pm.
 
Hukuna mkuu wapo wengi wanataka kuolewa sema vigezo na masharti umewakazia sana, hilo la kukubali uke wenza mhmhmhh limewatoa nduki
 
Hata mimi nilijua tu hilo mkuu ndo tatizo.
 
Back
Top Bottom