Mmh haya bwanaSiutaki hata kuusikia na dini yangu hairuhusu
Kwani mkuu hata huyo mmoja ukiowa unaowa kwa ajili ya nini?Kama unaoa kwa ajili ya dini ya dini ya allah ..nakuombea kheri...but kama unaoa kwa ajili ya nyege zako pole sana..
Hahahahaha nawasaidia vijana banah......tunataka huyu mleta uzi kama akipata mke,basi atuletee japo mrejesho ili tujue kweli JF kuna wife material...maana kuna wimbi kubwa la vijana wanaotafutaNachukia mnoo halaf mbona we nimekuona hapo juu unataka kuongeza
Yaani nasikitika sana wadada hawataki kuolewa bali wanataka kulowewa.Hahahahaha nawasaidia vijana banah......tunataka huyu mleta uzi kama akipata mke,basi atuletee japo mrejesho ili tujue kweli JF kuna wife material...maana kuna wimbi kubwa la vijana wanaotafuta
Hukuna mkuu wapo wengi wanataka kuolewa sema vigezo na masharti umewakazia sana, hilo la kukubali uke wenza mhmhmhh limewatoa ndukiYaani nasikitika sana wadada hawataki kuolewa bali wanataka kulowewa.
Ningekuja na uzi wa kwamba natafuta wa kula nae bata kwenye macasino wangekuja kwa wingi.
Lakini sio mbaya kwa vile hawataki kuolewa basi siwalazimishi kesho nafunga pm.
Hata mimi nilijua tu hilo mkuu ndo tatizo.Hukuna mkuu wapo wengi wanataka kuolewa sema vigezo na masharti umewakazia sana, hilo la kukubali uke wenza mhmhmhh limewatoa nduki