Mke wa rafiki yangu ananitaka, nifanyeje?

Mke wa rafiki yangu ananitaka, nifanyeje?

Kwa tamaduni na mila zetu sio sahihi. Wanawake wapo wengi mkuu tafuta tu utapaa mwanamke mwingine.
Ukiona utupu wa huo mtu basi umeona utupu wa rafiki yako. Itunze heshima yake kwako.
 
Nikikukuta na wangu nakuachia uendelee naye mimi naoa mwingine

Hakuna ugomvi wala fujo yoyote
Fujo ipo palepale hujamkuta tu akiwa amembinua makalio sebleni kwako ndio utajua hauijui wezombi
 
Na huyo nae akijichanganya anashikishwa ukuta siku hz ukiwa mstaarabu sana utakufa na upwiru
Ukiwa maskini ndiyo utakufa na upwiru

Ukiwa na hela ni simu 1 tu mke huyu hapa unaoa

Kanuni yangu inabaki pale pale NIKIKUKUTA NA MKE WANGU NAKUACHIA UENDELEE NAYE MIMI NAOA MWINGINE.
 
Tangu zamani nilijiwekea mipaka marafiki zangu marufuku kuwapeleka nyumbani labda niwe naumwa tofauti na hapo mambo yetu tunamalizia bar.
Namba ya simu ya rafiki yangu kwenye simu ya mke wangu ya nini?futilia mbali.
Marafiki wanafki sana
 
mpehizi nambazangu nimshauri
0755187656
Unaweza ukapewa kweli namba zake lkn hakika unachokifikiria kinaweza kisitokee.huyo mwanamke anamtaka huyo dogo kwa sifa na vigezo alivyonavyo pengine wanaume wengine hawana sifa na vigezo alivyonavyo dogo.
Kumbuka Kila mwanamke anavutiwa na vitu tofauti alivyonavyo mwanaume.
Kuna mwanamke anaweza akamkubali mwanaume asie na ukwasi mkubwa ili asiwe anatawaliwa sana.
Pia Kuna mwanamke hajali kua chini ya mwanaume mwenye ukwasi mkubwa.
 
Km jamaa Yako n rafiki Yako kitambo na unaujua umuhimu wa rfk Yako ktk maishà Yako bac huyo mwanamke n shetan aliyekuja kuwatenganisha na kuwavuruga kbs mtoke Kwenye mstari mliopo..

Chakufanyaa block Kila mahali unapowasiliana naye na hakikishaa usiruhusu mkutane Kwa namna yyt Ile na km mnakaa sehemu Moja jaribu kuhama Kwa ajili ya kulindaa afya ya urafiki wenu mlioshibana na kusaidiana Kwa Kila ktu..

Usimwambie mwana chcht kilé vunga kiumee.

Ni hayo tu kutoka kwangu Mzee wa kataa NDOA.
Nikazie au?
 
Ukiona hivo basi na we mwenyewe unajilegeza ndomana anapata ujasiri wa kukwambia huo upuuzi, kwanza hujui maana ya urafiki so usiseme mke wa rafikiako, sema mke wa jamaa mmoja mnayefahamiana.
 
kwenye simuu mkataee kabisaaa...yani mfokeeee ila live mkuleee mpaka azimieee
 
Back
Top Bottom