Pundit,
kipi bora,
(i) mke wa rais kufanya hivyo viziara ambavyo vina angalau manufaa kidogo kwa taifa letu na akatumia kodi yetu kidogo (kwa ridhaa ya walio nyuma yake, na wala si kwa kuiba),
AU
(ii)kuibiwa rasilimali za taifa, hasa kwenye migodi, hifadhi za taifa, kwa mikataba mibovu pamoja na ufisadi uliokithiri km vile kwenye manununzi ya umma, EPA n.k.
Tatizo unawasikiliza sana akina dada, wao wanaweza kuwa wanaongea wakiwa na somesort of a bias, to some extent. Tatizo ni kwamba mwanaume akishajigundua kuwa ana positive attraction kwa wanawake, hamna namna ambayo unaweza ukawakwepa kuwa nao wengi. lakni sasa hii huwa inakuja inarepuccate negatively kwa mke wako (kwa waliooa) au girl friend wako, maana wale unaotembea nao lazima wapretend kuwa wanamdharau (they are however, inferior to her all the time as long as long as they still amidmirerher husband,... I mean you!). Hiyo dharau ya kusingizia lazima iambatane na kumuonea wivu mhusika, yaani mke wako au girl friend wako, na sometimes kuwa wanajaribu kumponda kwa kupuliza puliza unapokuwa uko nao!
Mimi sion tatizo kwa nini Mama Kikwete asipiwe kelele kwa kazi nzuri anayoifanya. Tupige kelele kwa hele za EPA, Richmond, n.k.
Naomba kuwasilisha