She advised her that she has to prepare a written speech or atleast a highlight of whatever she was planning to say to the public during rallies ... this was during the last campaigns ..
Kwani wataalamu wa sheria hapa jf mnasemaje kikatiba?Tunajiuliza na kushangaa kuona kwamba mke wa Rais sasa naye anafanya ziara nchi nzima bila mumewe.
Katiba yetu haimtambui mke wa Rais kama ilivyo kwa US. Inakuwaje huyu mama sasa anahangaika kuliko Makamu wa Rais? Anaweza akasikika kama atakuwa akiandamana na mumewe.
JK yabidi amu-kontroo mukewe bwana sisi hatukumchagua.