Mke wa Rais wa Congo DR atajwa miongoni mwa wezi wa madini

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Watu tisa wa familia ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi
wamefunguliwa kesi mjini Brussels wakishutumiwa kwa wizi wa madini ya migodi iliyopo majimbo ya Lualaba na Upper Katanga.

Watuhumiwa ni pamoja na mke wa Tshisekedi, Denise Nyakeru Tshisekedi, watoto, kaka na shemeji yake.

Mashtaka dhidi yao ya "kujihusisha na shughuli za kihalifu na rushwa", yaliwasilishwa na wanasheria kwa niaba ya mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali ya Katanga pamoja na waliokuwa wakurugenzi wa shirika la serikali madini nchini humo, Gecamines.

Mashtaka hayo yanawalenga wanafamilia hao wenye uraia wa Ubelgiji na kwa maana hiyo kesi itaendeshwa chini ya sheria ya Ubelgiji.

1752223028485.png

Chanzo: DW​
 
africa is black
 
View attachment 3401562
Wanamkuwamisha mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe
 
Marais wao wote labda huyo Lumumba ila wengine wote lengo lao ni moja, no wonder police na wagambo wanakusanya pesa toka kwa wananchi na wakiwa hawana pesa wanapewa kisago
 
Watu tisa wa familia ya Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Felix Tshisekedi
wamefunguliwa kesi mjini Brussels wakishutumiwa kwa wizi wa madini ya migodi iliyopo majimbo ya Lualaba na Upper Katanga.

Watuhumiwa ni pamoja na mke wa Tshisekedi, Denise Nyakeru Tshisekedi, watoto, kaka na shemeji yake.

Mashtaka dhidi yao ya "kujihusisha na shughuli za kihalifu na rushwa", yaliwasilishwa na wanasheria kwa niaba ya mashirika kadhaa yasiyo ya kiserikali ya Katanga pamoja na waliokuwa wakurugenzi wa shirika la serikali madini nchini humo, Gecamines.

Mashtaka hayo yanawalenga wanafamilia hao wenye uraia wa Ubelgiji na kwa maana hiyo kesi itaendeshwa chini ya sheria ya Ubelgiji.

View attachment 3401562
Chanzo: DWD​

Madhara ya uraia pacha,
 
Back
Top Bottom