Mke wa Rais wa Marekani ameweka ujumbe wa Valentine kwenye bustani za White House

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Jill Biden ameweka alama za moyo na katika kila moyo ameandika ujumbe

Healing, Courage, Love, Compassion, Gratitude, Peace, Amor, Strength, Kindness, Family, Unity. Love Jill
 
Atakuwa tu anatafuta kumwongezea puppet mwenziwe JB likes kuleee kwenye sosho midia.

^We will be back in some form^ ~ DJT
 
mm huwa ndo siku yangu ,ku show love kwa watt na watu wenye mazingira magumu ,imekuwa Kama utamaduni wangu Kila mwaka aise.Huwa na feel amani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…