Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,023 Reaction score 12,811 Jun 23, 2010 #41 Haya mambo anajitakia mwenyewe, kama hawapi mapigo ya uhakika lazima watatafuta mapigo ya uhakika nje!
Haya mambo anajitakia mwenyewe, kama hawapi mapigo ya uhakika lazima watatafuta mapigo ya uhakika nje!
Lutala JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 848 Reaction score 104 Jun 23, 2010 #42 Acha naye aliwe tu. Nani kasema kuwa mwanume tu ndo awe na wengi, hata wanawake nao wanapenda kitu hiyo. Napenda kumpongeza mke wa Zuluma kwa kitendo chake hicho cha kishujaa
Acha naye aliwe tu. Nani kasema kuwa mwanume tu ndo awe na wengi, hata wanawake nao wanapenda kitu hiyo. Napenda kumpongeza mke wa Zuluma kwa kitendo chake hicho cha kishujaa
M Mokoyo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2010 Posts 15,145 Reaction score 5,566 Jun 23, 2010 #43 kweli Muosha Huoshwa
StaffordKibona JF-Expert Member Joined Apr 21, 2008 Posts 669 Reaction score 60 Jun 23, 2010 #44 Nasikia leo asubuhi kuwa huyo mama amedaikuwa alipagawa na mitindo ya huyo mlinzi