Mke wa Rais Zuma Ala Uroda na Mlinzi Wake

Mke wa Rais Zuma Ala Uroda na Mlinzi Wake

Haya mambo anajitakia mwenyewe, kama hawapi mapigo ya uhakika lazima watatafuta mapigo ya uhakika nje!
 
Acha naye aliwe tu. Nani kasema kuwa mwanume tu ndo awe na wengi, hata wanawake nao wanapenda kitu hiyo. Napenda kumpongeza mke wa Zuluma kwa kitendo chake hicho cha kishujaa
 
Nasikia leo asubuhi kuwa huyo mama amedaikuwa alipagawa na mitindo ya huyo mlinzi
 
Back
Top Bottom