Hivi nyinyi mnataka TFDA ifanye nini??? kwani hawajui madhara ya mikorogo hiyo???Yeye mwenyewe kajichubua kiasi akichania hashoneki haafu bado anasambaza upendo kwa wenzake mbaya zaidi anauza bei TFDA wapo kimya
😀😀MKANYE MKEO BAJAJI SIO YANGUKwani TFDA na huyo muuzaji wa mikorogo kosa lao nini, nyie wadhibitini wake zenu na mabinti zenu
Kama kila binadamu wana jua madhara ya vitu wanavyo tumia basi hamna haja ya kuwa na TFDA kwasababu wana pokea mishahara ya walipa kodi Pasipo kufanya kazi!!Hivi nyinyi mnataka TFDA ifanye nini??? kwani hawajui madhara ya mikorogo hiyo???
Tujuilize kwa nini kina dada zetu wanapenda sana kutumia hiyo mikorogo?
Jee haiwezekani chanzo cha yote haya ni sisi midume na kasumba zetu za kupenda kina dada wanaong'ara????
mimi siamini kipodozi chochote hapa bongo
ndo maana natengeneza mafuta yangu ya nazi kila week najipaka
unakuta mtu kachanika sijui michirizi utadhani nyoka mjane wa miaka mia
bora nionekane mshamba
natamani kuongeza chura wangu kidogo maana huku mjini msingi chura ila nitafanya tu mazoezi