Mke wa Said Fella unatuharibia wadada hapa mjini

Mke wa Said Fella unatuharibia wadada hapa mjini

Ngoja siku

Madhara yamtokee demu wako ama mama ako ndio Utajua sio watu watu wanajua Madhara yake
Na wala sintojali kwanza kama ni dem wangu nakutafunaa weeee ukianza kuwa kata koboko nakupiga chini [emoji44] maana elimu inatolewa kila siku kuhusu mikorogo kama hii na matokeo yake sidhani kama hakuna mtu hajaona mpaka sasa na ndoo maana nikasema atashika sana vilazar kwa hili, maana akili zimejifunga, kwanza nitacheka sana maana kila leo Tfda na mamlaka husika wanahubiri hili, halafu wewe kwa ulimbukeni wako bado unapakaa hayo madude kumbafu kabisa,
Vitu vingine mnapovitetea muwe mnachuja kwanza.
Only vilazaer can do this [emoji12]
 
TFDA nao wanachoka, maana hata wakifungiwa hawa wauzaji wanauza kwa siri, watu walio amua kujilipua acha wajilipue mradi TFDA imetoa madhara ya hayo madawa kuacha au kuendelea kutumia ni juu ya mtu mwenyewe, acha serikali ipeleke nguvu kwenye masuala ya msingi, hya mashangingi yaliyozoea kujilipua kazi ni kwao.
 
Hivi nyinyi mnataka TFDA ifanye nini??? kwani hawajui madhara ya mikorogo hiyo???
Tujuilize kwa nini kina dada zetu wanapenda sana kutumia hiyo mikorogo?
Jee haiwezekani chanzo cha yote haya ni sisi midume na kasumba zetu za kupenda kina dada wanaong'ara????
Hapa bado sijaona point yako, maana kuna nchi kama Uganda ndo Kwanzaa wana mafuta ya kun'garisha weusi
 
Jamaa umefanikiwa kuitangaza biashara ya mama Fella
 
Mh kwani mmelazimishwa kujikoboa, c madem wenyewe mmeipenda, yani ukilazaeer umewajaa tuu, acha atumie opportunity kwa vilazaer
Haiko hivyo mkuu,ingekuwa hivyo basi hata wauza madawa ya kulevya waachwe wapete manake wanaonunua wametaka wenyewe?
Ilivyo ni kwamba sio kila mtu anajua madhara ya hivyo vipodozi,kwa hiyo kuingilia kwa mamlaka husika kutanusuru population ya watu wasio na elimu ya madhara ya mikorogo hiyo.
 
Kuna mtu kalazimishwa jamani au asiponunua na kutumia..ata. [emoji379][emoji379]...??
 
Huyo mama minilikuwa najua ni shombe shombe kumbe ni mkorogo,hivi huwa wanapaka au wanakunywa mbaka wanakuwa hivyo?
1473233853445.jpg
 
Kwani TFDA na huyo muuzaji wa mikorogo kosa lao nini, nyie wadhibitini wake zenu na mabinti zenu


Hiyo siyo hewa, kwamba watu wanalazimishwa kuvuta kila wapitapo, endapo watu wakiacha kununua hiyo mikorogo basi itajiondoa yenyewe sokoni,
 
Yn hata mimi nashangaa..hivi TFDA kazi yao ipi..mtu yuko mtandaon kabisa na rahisi kumpata lkn wapi
Wanafanya mradi wenzio kila wakitaka pesa wanakwenda wanachukua wanarudi sio kwamba hawajui ama hawaoni always Money Talks.
 
ye alivyo tu anatisha sasa wewe mdada unaenda kununua hiyo kitu kwake akili yako haina akili
Hivi ukikutana nae usiku si inawezankudhani ni kizuka???

Ila TFDA si ndio wathibiti wa haya makitu???? Wanafanya nini???
 
Back
Top Bottom