asmaa80
JF-Expert Member
- May 11, 2010
- 1,562
- 1,754
Duh! yani watu kama hao baada ya miaka 40 mpaka 45 hizo ngozi zao zinakuwa kama za chura kama sio kenge wanatisha, final uzeeeni, watakongoroka ngozi, kwanza hapo alipo ameshafikia hatua mbaya sana, sijui nani amewadanganya uzuri ni kujichubua...NADHANI HAWA NAO NI WA KUKAMATWA PIA, WAKITIHIBITIKA WANAUZA VITU VISIVYO ELEWEKA.