Mke wa Tundu Lissu apewe tuzo

Atakuwa first lady baada ya kumpa Tundu Lissu kura ya ndio
 
Ni wajibu wake kama mke kufanya aliyofanya kwa mume wake
sasa huku tunapoelekea wanawake wataonekana wanastahili wapewe tuzo kwa kuzaa mtoto, mtoto apewe tuzo kwa kukubali kwenda shule, na baba apewe tuzo kwa kulipa ada za watoto.

Yani tutafikia hatua tuzo zitatolewa kwa vitu ambavyo ni wajibu wake mtu kufanya jambo hilo alifanyalo.

Tusiwe soft kiasi hiki.
 


Imagine maisha tunayoelekea!

Mtu kamfanyia hayo mume wake apewe na tuzo eti.....matumizi mabaya ya tuzo
 
Imagine maisha tunayoelekea!

Mtu kamfanyia hayo mume wake apewe na tuzo eti.....matumizi mabaya ya tuzo
Hapo sasa.. Tuzo anapewa mtu ambae amefanya kitu out of the ordinary. Sasa hapo mke wa Lissu sijaona uextraordinary wake wowote.
 
Kwani mwenyekiti wenu anamthamini mkewe,kila siku kuropoka kuhusu wanawake kwenye majukwaa kama zuzu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…