Mke wa Walker anadai Bilioni 54 baada ya mume wake kuzaa nje ya ndoa

Mke wa Walker anadai Bilioni 54 baada ya mume wake kuzaa nje ya ndoa

Walker naye hajielewi, alizaa nje mtoto wa kiume. Mkewe akamsamehe, hakukaa sana akaenda kuzaa nje na mwanamke yuleyule wa mwanzo, mtoto wa kike. Na amekuwa akikana, ila ukweli ukawekwa wazi.

Kipindi mkewe ana ujauzito wa mtoto wa 4, mchepuko umemsumbua sana. Alikuwa akimtext kumwelezea mauhusiano yake na mumewe, mtu ni mjamzito. Acha apewe ni halali yake. Walker mwenyewe kapendezwa na hilo inaonyesha, wambea wanasema kuwa watoto wake watakuwa na financial security
 
Annie Kilner ambaye ni mke wa beki wa kulia wa Manchester City, Kyle Walker anadai fidia ya pauni milioni 15 sawa na Bilioni 54,428,016,000 kwa pesa za Tanzania kama fidia ya yeye kukubali kuendelea kubaki kwenye ndoa baada ya mume wake kuzaa watoto wawili nje ya ndoa
View attachment 3112042
Kesi hii iliteka vichwa vya habari nchini Uingereza mwezi January mwaka huu, baadae Walker alitoka hadharani kukiri kosa hilo lakini hivi karibuni imeibua sura mpya baada ya Annie kuajiri mtu maalumu wa kufuatilia utajiri wa Walker akiendelea kusisitiza kudai fidia hiyo
View attachment 3112044
Walker na Annie walifunga ndoa mwaka 2021 na wamebarikiwa kupata watoto wanne Roman (12) Riaan (7) Reign (5) na Rezon (Miezi sita)View attachment 3112043

Kijana nimempenda bure. Anazalisha wanawake. Mbappe anadate wanaume wenzake.
Huyu anayezalisha mambo yake yanaelezeka kuliko mafirauni
 
Back
Top Bottom