Kunta Kinte
JF-Expert Member
- May 18, 2009
- 3,690
- 1,288
haiwahusu!
Kama ni Waziri wa serekali yetu inatuhusu lakini kama ni Waziri Mahadhi au Waziri Sonyo kweli haituhusu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haiwahusu!
Mimi siziamini picha hizo kwa sababu zifuatazo:
1. Kitendo cha waziri huyo kuruhusu mkewe huyo kupigwa na huyo shemeji yake aliye kifua wazi.
2. Shemeji mtu mwenye jeans kama hakuwa ndani alitoka wapi kuja kumpiga wakati yupo kifua wazi au alimpiga wakati ameshavua shati, kitendo ambacho si rahisi
3. Hakuna hata picha moja hapo ya huyo aliyefumania, yaani Waziri.
4. Huyo mwanamke mwenye baibui wanasema kafumaniwa na alikua akizini, alijiremba saa ngapi na lipstick hiyo mdomoni baada ya kutokea tukio hilo lenye utata?
5. Sidhani kama kichwa cha huyo mwenye baibui ndiyo cha mwenye mwili huo
6. Anaonekana alipigwa picha akipata kibano kama ni sebuleni vile. Akaenda chumbani akavaa baibui akafuatwa tena huko na waandishi akawaruhusu wampige picha akiwa amekaa kwa huzuni hivyo.
Uzushi na uongo mtupu!
uongo huu ndio uliomkosesha kura shigongomimi siziamini picha hizo kwa sababu zifuatazo:
1. Kitendo cha waziri huyo kuruhusu mkewe huyo kupigwa na huyo shemeji yake aliye kifua wazi.
2. Shemeji mtu mwenye jeans kama hakuwa ndani alitoka wapi kuja kumpiga wakati yupo kifua wazi au alimpiga wakati ameshavua shati, kitendo ambacho si rahisi
3. Hakuna hata picha moja hapo ya huyo aliyefumania, yaani waziri.
4. Huyo mwanamke mwenye baibui wanasema kafumaniwa na alikua akizini, alijiremba saa ngapi na lipstick hiyo mdomoni baada ya kutokea tukio hilo lenye utata?
5. Sidhani kama kichwa cha huyo mwenye baibui ndiyo cha mwenye mwili huo
6. Anaonekana alipigwa picha akipata kibano kama ni sebuleni vile. Akaenda chumbani akavaa baibui akafuatwa tena huko na waandishi akawaruhusu wampige picha akiwa amekaa kwa huzuni hivyo.
Uzushi na uongo mtupu!
uongo huu ndio uliomkosesha kura shigongo
Kwa nini isiwe ukweli? Story ambayo huwezi amini ndiyo huwa inaandikwa. Zile za wazi na kuaminika huwezi kukuta kwenye udaku. Kwa mfano mtu kamshika kiuno mkewe ikiandikwa kwenye gazeti hakuna atayenunua. Cha ajabu kipi? Lakini ukute story kuwa mtu kamshika kiuno mke wa rafiki yakempendwa hapo inakuwa bonge la mvuto na gazeti litatoka sana kwa mauzo. Mimi naamini kuna ukweli hapa
Udaku sina hamu nao..inawezekana mwenye mali anaitwa Waziri na sio cheo..
Huyu mke wa ndoa au nyumba ndogo tu?
Ukimwi for ever
Nimeipenda sana hii una maana SHY - GOGO mbunge mtarajiwa wa BU-CHOSHWA aka BU-TOSWAMagazeti ya yetu ya Mtarajiwa wa Bu-TOSWA...