Mke wa Waziri afumaniwa....



...You are Right. Ni story ya kutengeneza tu watu wapeleke mikono kinywani!

 
uongo huu ndio uliomkosesha kura shigongo
 
labda waziri sonyo
yule muimbaji wa dansi...
 
Jamaa hodari wa kuandaa igizo na kulifanya stori ili tu auze gazeti
 
Kawaida tuu mm sioni cha aajabu hapo,kizuri kulaaaaa....... siyo yeye tuuu afaidi vyote,mara za EPA,Richmond na toto kama hilo pia mmhhh
 
btw "Visa" inayotajwa hapo ni nini?
 
Uzuri wa Udaku huwa hatukubali kukosa cha kuandika as usual mdau.
 
Kwa nini isiwe ukweli? Story ambayo huwezi amini ndiyo huwa inaandikwa. Zile za wazi na kuaminika huwezi kukuta kwenye udaku. Kwa mfano mtu kamshika kiuno mkewe ikiandikwa kwenye gazeti hakuna atayenunua. Cha ajabu kipi? Lakini ukute story kuwa mtu kamshika kiuno mke wa rafiki yakempendwa hapo inakuwa bonge la mvuto na gazeti litatoka sana kwa mauzo. Mimi naamini kuna ukweli hapa
 

...Common Sense.
 
Huyu mke wa ndoa au nyumba ndogo tu?



awe wa ndoa aumke mdogo au nyumba ndogo; ukweli ni kwamba huo ni unyanyasaji wa wanawake kwani mume mmoja hawezi kutosheleza mahbat kwao wote na ni haki yake huyo mmama kutafuta satisfaction nje ya nyumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…