MLATIE Senior Member Joined Apr 14, 2010 Posts 179 Reaction score 16 Aug 16, 2010 #41 mambo ya kawaida mbona mamba alikula mke wa mswati
P Phoibe mshana Member Joined Sep 19, 2007 Posts 28 Reaction score 0 Aug 16, 2010 #42 Duh kaaazi kwelikweli!!!
D Dick JF-Expert Member Joined Feb 10, 2010 Posts 477 Reaction score 9 Aug 17, 2010 #43 Jamani, huyo mheshimiwa ana majukumu mengi kiasi kwamba hapati muda wa ku-service nyumbani (mama). Hali hii inasababisha mama anakaukiwa sana. Ndo maana anatafuta chanzo mbadala cha huduma. Ni hali ya kawaida kwao.
Jamani, huyo mheshimiwa ana majukumu mengi kiasi kwamba hapati muda wa ku-service nyumbani (mama). Hali hii inasababisha mama anakaukiwa sana. Ndo maana anatafuta chanzo mbadala cha huduma. Ni hali ya kawaida kwao.