Mke wa yahya sinwar anamiliki handbag la gharama ya $32,000.

Record Man

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2023
Posts
525
Reaction score
876
Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.

Kitu kimezua mjadala sana.

fe52e47a0792c028e2306148fc5bd5c4172950263364419_original (1).jpg

33e18244036868ecf7a57c56c3409b08 (2).jpeg
 
Mke wa Nyau ana miliki Billion na wananchi wa Israel wanakufa njaa. Hivi we unadhani israel hakuna masikini wanao imba barabarani ili warushiwe hata kishekel kimoja 😄
 
Huu ni wivu, wewe ulitaka mkewe amiliki begi la gharama gani?
Unaumia nini mke wa mtu kumiliki begi la gharama kubwa?
Maumivu yanakuja pake ambapo mamilioni ya watu wa Gaza wanauwawa yeye akiwa anaishi kwa mabilioni ya pesa zinaOlenga maendeleo ya kijamii nna kiuchimi ya watu wa Gazq
 
Mzee hayupo tena, nani anamrithi huyo mke? Naona umri wake bado mdogo.
 
Maumivu yanakuja pake ambapo mamilioni ya watu wa Gaza wanauwawa yeye akiwa anaishi kwa mabilioni ya pesa zinaOlenga maendeleo ya kijamii nna kiuchimi ya watu wa Gazq
Unauhakika hizo ni pesa za watu wa gaza? Kwani yeye kama kiongozi hana mshahara au allowances zake hana miradi yake na network yake ya pesa acheni wivu viongozi wote wa hamas ni mabilionea kwa taarifa tena Haniye ndio alikua na mzigo kuliko hata uyo netanyau
 
Huo ubilionea wake umewasaidia nini watu wa Gaza?!
 
Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.

Kitu kimezua mjadala sana.

View attachment 3132012
View attachment 3132013
Propaganda za kichoko ili kuwavunja moyo wapiganaji mashujaa. Pamoja na kusambaratishwa hayo makaazi lakini hand bags hazikuingia hata vumbi. Yale Yale ya Yussuf kuliwa na mbwa mwitu lakini kanzu yake kuchanika chanika, lakini haikuingiwa hata na tone la damu.
 
Maumivu yanakuja pake ambapo mamilioni ya watu wa Gaza wanauwawa yeye akiwa anaishi kwa mabilioni ya pesa zinaOlenga maendeleo ya kijamii nna kiuchimi ya watu wa Gazq
Hayo wayaseme watu wa Gaza wenyewe na sio Israel, Juzi tu hapa so Israel walisema sinwar kakimbia Gaza na kajificha Egpty? Leo hii imekuwaje kafia Gaza? Inshort Israel wakiongea maneno 1000 basi 999 ni uongo.
 
Hii ni kweli?

Isije kuwa ni propaganda za IDF tu.

Kwanza picha yenyewe haipo dhahiri kivile.

Pili, mabegi feki [bidhaa feki] yapo kila kona ya dunia hii.

Tatu, uthibitisho wa kwamba hiyo ni Birkin uko wapi?

Nne, mchakato wa kupata/ kununua Birkin si wa kitoto.

Huwezi tu kwenda dukani na kununua Birkin.

Tano, mke wa Sinwar kaitoa wapi hiyo Birkin?
 
Mkuu hiyo Birkin nikitaka kuinunua mashariti yake ni yapi?
Je? Kwenye majiji ya uko mashariki ya kati hazipatikani?
 
Back
Top Bottom