Elsa Marie
JF-Expert Member
- Jul 7, 2017
- 2,284
- 5,596
Hivi kwanini handbags nyingi za bei mbaya(designers) zina sura mbaya? Siwezi beba pochi kama hiyo kiukweli, au ushamba unanisumbua?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.
Kitu kimezua mjadala sana.
View attachment 3132012
View attachment 3132013
Nyingi ni handmade, Hizi hazizalishwi viwandani, ni very skilled labour anakaa kwa masaa ya kutosha kuziunda kwa ngozi kama ya Mamba, Mbuni, Mijusi n.k, hivyo yale madoido mengi yanayoweza kufanywa na mashine hayapo.Hivi kwanini handbags nyingi za bei mbaya(designers) zina sura mbaya? Siwezi beba pochi kama hiyo kiukweli, au ushamba unanisumbua?
Ni sawa lakini kwangu mimi napenda pochi yenye muonekano mzuri halafu ubora unafata.Nyingi ni handmade, Hizi hazizalishwi viwandani, ni very skilled labour anakaa kwa masaa ya kutosha kuziunda kwa ngozi kama ya Mamba, Mbuni, Mijusi n.k, hivyo yale madoido mengi yanayoweza kufanywa na mashine hayapo.
Fahari yao kubwa ni Ubora na kuona ule uasili wake, sio shoo ya mchina, kitu inapigwa maurembo mpka hujui nini kimetumika kutengeneza halafu anza kuhesabu siku.
Wao wanataka uhuru wa ardhi yao sasa pesa kwao ni kama tu kurahisisha shughuli zao ndio maana hata mtoto wake alisema damu ya babake sio yenye thamani sana dhidi ya watu wengine wa gaza waliopoteza uhaiHuo ubilionea wake umewasaidia nini watu wa Gaza?!
Halafu kuna mjinga anajazwa upepo akapigane afie dini huku kavaa makobazi ya buku mbili.Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.
Kitu kimezua mjadala sana.
View attachment 3132012
View attachment 3132013
Wewe kwa akili zako fupi unafikiri Israel ni Shithole Country kama nchi yenu au kama hizo mnazoshabikia.Mke wa Nyau ana miliki Billion na wananchi wa Israel wanakufa njaa. Hivi we unadhani israel hakuna masikini wanao imba barabarani ili warushiwe hata kishekel kimoja 😄
We dogo usiwe unamini sana hizo infomation mara nyingi sana ni waongo tu. Kuna nchi mimi naijua wananchi wanakufa nje lakini katazame GDP income per capital Israel haoni kitu 😄Wewe kwa akili zako fupi unafikiri Israel ni Shithole Country kama nchi yenu au kama hizo mnazoshabikia.
*******************************************
Israel GDP Income Per Capita-$52,219
Russia GDP Income Per Capita-$14,391
China GDP Income Per Capita-$12,614
Iran GDP Income Per Capita- $4,503
North Korea GDP Income Per Capita-$1,217
Tanzania GDP Income Per Capita-$1,211
*****************************************