Record Man
JF-Expert Member
- May 25, 2023
- 525
- 876
Maumivu yanakuja pake ambapo mamilioni ya watu wa Gaza wanauwawa yeye akiwa anaishi kwa mabilioni ya pesa zinaOlenga maendeleo ya kijamii nna kiuchimi ya watu wa GazqHuu ni wivu, wewe ulitaka mkewe amiliki begi la gharama gani?
Unaumia nini mke wa mtu kumiliki begi la gharama kubwa?
Unauhakika hizo ni pesa za watu wa gaza? Kwani yeye kama kiongozi hana mshahara au allowances zake hana miradi yake na network yake ya pesa acheni wivu viongozi wote wa hamas ni mabilionea kwa taarifa tena Haniye ndio alikua na mzigo kuliko hata uyo netanyauMaumivu yanakuja pake ambapo mamilioni ya watu wa Gaza wanauwawa yeye akiwa anaishi kwa mabilioni ya pesa zinaOlenga maendeleo ya kijamii nna kiuchimi ya watu wa Gazq
Huo ubilionea wake umewasaidia nini watu wa Gaza?!Unauhakika hizo ni pesa za watu wa gaza? Kwani yeye kama kiongozi hana mshahara au allowances zake hana miradi yake na network yake ya pesa acheni wivu viongozi wote wa hamas ni mabilionea kwa taarifa tena Haniye ndio alikua na mzigo kuliko hata uyo netanyau
Mke wa Nyau ana miliki Billion na wananchi wa Israel wanakufa njaa. Hivi we unadhani israel hakuna masikini wanao imba barabarani ili warushiwe hata kishekel kimoja 😄
Propaganda za kichoko ili kuwavunja moyo wapiganaji mashujaa. Pamoja na kusambaratishwa hayo makaazi lakini hand bags hazikuingia hata vumbi. Yale Yale ya Yussuf kuliwa na mbwa mwitu lakini kanzu yake kuchanika chanika, lakini haikuingiwa hata na tone la damu.Video iliyoachiwa na IDF ikimonyesha yahya sinwar na mke kwenye andaki, imegundulika mke wa sinwar anamiliki bag yenyewe gharama zaidi ya Tsh 82,000,000.
Kitu kimezua mjadala sana.
View attachment 3132012
View attachment 3132013
Hayo wayaseme watu wa Gaza wenyewe na sio Israel, Juzi tu hapa so Israel walisema sinwar kakimbia Gaza na kajificha Egpty? Leo hii imekuwaje kafia Gaza? Inshort Israel wakiongea maneno 1000 basi 999 ni uongo.Maumivu yanakuja pake ambapo mamilioni ya watu wa Gaza wanauwawa yeye akiwa anaishi kwa mabilioni ya pesa zinaOlenga maendeleo ya kijamii nna kiuchimi ya watu wa Gazq
Mkuu hiyo Birkin nikitaka kuinunua mashariti yake ni yapi?Hii ni kweli?
Isije kuwa ni propaganda za IDF tu.
Kwanza picha yenyewe haipo dhahiri kivile.
Pili, mabegi feki [bidhaa feki] yapo kila kona ya dunia hii.
Tatu, uthibitisho wa kwamba hiyo ni Birkin uko wapi?
Nne, mchakato wa kupata/ kununua Birkin si wa kitoto.
Huwezi tu kwenda dukani na kununua Birkin.
Tano, mke wa Sinwar kaitoa wapi hiyo Birkin?
Mkuu hiyo Birkin nikitaka kuinunua mashariti yake ni yapi?
Je? Kwenye majiji ya uko mashariki ya kati hazipatikani?