Mke wa zamani wa Ricardo Kaka, aliyemsaliti akiri kwamba Kaka alikuwa mume bora sema aliboreka na maisha matakatifu aliyoishi Kaka.
Kwa maneno yake anasema "Kaka hakuwahi nisaliti, alinijali na kunipa familia inayopendeza, ila sikuwa na furaha, niliona kuna kitu kinakosekana. Tatizo kubwa ni kwamba Kaka alikuwa mkamilifu (mwema) sana kwangu".
Mchezaji wa zamani wa Brazil, AC Milan na Real Madrid, na mshindi wa Kombe la Dunia mwaka 2002, Ricardo Kaka alikuwa mlokole aliyempenda sana Yesu na kuishi maisha mema. Kaka hakuwa na drama kwa mke wake wala kashfa yoyote ya kuwa na kamchepuko huko nje. Sasa hapo inakuja mambo ya 50/50.
My take: Wanaume wakamilifu katika uchumba na ndoa wanasalitiwa sana na wake zao/ wachumba zao. Inaonekana wanawake wanadumu zaidi kwenye mahusiano ya kiuonevu ( toxic relationships) kuliko mahusiano yaliyotulia ( stable relationships). Wanawake wanasema wanataka wenye hofu ya Mungu ila kiukweli wanataka wanaume amshaamsha na si wenye hofu ya Mungu.