Mke wako Akichepuka Jua kifo chako ki mlangoni pako

Zero IQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
13,959
Reaction score
24,935
Wanawake wako tofauti sana na sisi wanaume,
Mwanaume anaweza kuchepuka si tu kwamba hampendi mke wake hapana ila anaweza kuchepuka tu kwa sababu ya tamaa mfano,
Kasikia kwa rafiki zake wakisifia utamu wa wanawake wenye matako/Matiti makubwa na yeye mke wake hana, hapo anaweza kuchepuka kwa sababu hiyo lakini siyo kwa sababu hampendi mke wake,

ila mwanamke akichepuka Jua kwamba anachepuka na Upendo wake wote, kama alikuwa hana dharau hapo ataanza kuonyesha wazi wazi,
hii inakuwa ni kama sign ya kuonyesha kwamba wewe si kitu chochote tena kwake,
Kama ni penzi anapewa na mtu mwingine huko nje na anainjoi kuzidi unalompa wewe,

Sasa mwanamke akishafikia hatua hii anaweza kufanya chochote ili mradi usiwe kero kwake,

Na kama mnavyojua dawa ya kero ni kuiondoa na hapo ndipo Kifo kinapochukua nafasi kubwa kwa mwanaume,
Ukiona mke wako anadai taraka ili aachane na wewe bila sababu ya msingi shukuru Mungu uwenda amekuonea huruma hataki kukuua.

Cc Zero IQ
 
Naongezea sababu nyingine ukitoa kuhadithiwa na marafiki utamu na wa WANAWAKE wenye matiti,makalio makubwa sababu nyingine Ni kutizama video za ngono..mule Kuna warembo Kuliko mkeo,Wana ma shape amazing sa ndo ushenzi unapoanzaa kuwatafuta
 
Hadi WANAWAKE wa kizungu Wana hii tabia ya kukusogezea siku zako za kufa?au Ni Hawa wa Tanzania Tanzania!
 
Wanawake wa kichagga haswa wa Rombo njooni mtupe ushuhuda wenu kwanini mnaua waume zenu kila kukicha. Je, hii ndiyo sababu?
 
Mwanaume anaweza kuwa na wanawake 5 na mke asigundue wala kuhisi chochote..Ila mwanamke akiwa na mchepuko mmoja tu unaweza kuanza kuona tofauti..

Wanawake wengi kwenye swala la kuchepuka hawako vizuri..
 
kama mnavyojua dawa ya kero ni kuiondoa na hapo ndipo Kifo kinapochukua nafasi kubwa kwa mwanaume,
Ukiona mke wako anadai taraka ili aachane na wewe bila sababu ya msingi shukuru Mungu uwenda amekuonea huruma hataki kukuua.

Hapa nimefurahi zaidi
 
Hayo yamekukaa mkuu
 
Mkuu zero IQ hivi leo mama yako akikuambia huyo unayemfahamu sio baba yako utafanyaje?

Asilimia kubwa ya wanawake hawana furaha kwenye ndoa zao, na wengi wanagongwa nje...linapokuja suala la kuua.., hapo inategemea na akili za mtu
 
Hadi WANAWAKE wa kizungu Wana hii tabia ya kukusogezea siku zako za kufa?au Ni Hawa wa Tanzania Tanzania!
Wazungu asilimia kubwa wanajiheshimu sana wakiwa kwenye relationship.

Akishakuambia anakupenda anamaanisha , hawa wetu akikuambia anakupenda anakuwa anakuhesabia time yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…