Hahaha .........hatari 😅Kwa Bwana shamba?
Israel has a different case, u cant compare with Tz, because in Israel The president's powers are largely ceremonial, while the prime minister holds the executive power."NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo."
kwa hiyo Rais wa israel amefeli kwa mgongo wa Netanyahu
Kabisa, na kwa kuwa huwa mnashindwa majukumu tutaishia kujulikana sisi.MKE WAKO WAKO ASIKUZIDI JINA, NYUMBA YAKO ITAMBULIKE KWA BABA AU MZEE FULANI NA SIÔ KWA MAMA AU BIBI FULANI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni,
Nyumbani Kwa Mama Richard.
My friend ikifikia sehemu àmbayo NI yako alafu inatajwa Kwa Jina la Mkeo Jua kûna sehemu muhimu na nyeti umeshindwa kama Mwanaume na kama Baba.
Úkiwa kama Mwanaume muwajibikaji na unayejua majukumu yako jina Lako NI Moja ya Jambo nyeti kulilinda na kulikuza.
Siô Sifa nzuri Nyumba yako iitwe Kwa Jina la Mwanamke NI kwamba wewe Huna lolote. Wewe siô kichwa, wewe sio mtawala yàani upoupo.
NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo.
Nyumba yako iitwe Kwa majina yako au ûkoo wenu.
Kwa Mzee Magufuli,
Kwa Mzee Kikwete,
Kwa Mzee Taikon
Kwa Mzee Mwinyi n.k.
Hata familia yako itambulishwe Kwa Jina laki au ubini wako.
Siô familia ya Mama au Bibi Fulani nop. Hiyo siô dalili nzuri kiutawala.
NI dalili ya kuwa haukuwa active enzi za ujana wako.
Moja ya mambo àmbayo Mungu alimuahidi Ibrahim ni kukuza jina lake na alilikuza. Hata Watoto na wajukuu wake Miaka nenda rudi huitwa Watoto na kizazi cha Ibrahim.
Pia hujulikana kama Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Au Mungu wa mababu zetu.
Kitendo cha kukubali Mkeo au Mwanamke akuzidi kete ni kuruhusu Miaka ijayo aitwe Mungu wa Bibi zetu Jambo ambalo kiutawala hasa WA kiroho halipo.
Familia ambazo mama amebeba jina huwaga hazinaga kizazi kirefu Katika mafanikio.
Jina Lako lina thamani. Thamani hiyo lazima Uilinde.
Kiasi kwamba Siku ukiwa haupo Watoto na wajukuu zako wajivunie jina Lako.
Hata Mwanamke hujivunia kuitwa jina la Mwanaume mwenye heshima na legacy Kwa Wakati wake.
Mwanamke Hawezi kubali kubadili jina la ûkoo wake na kuitwa jina Lako kama hajivunii wewe, kama anakuona hujielewi.
Anakuona wewe sio shujaa,
Wanawake wanapenda Wanaume mashujaa, Malegend.
Mwanamke unaweza kukosa Pesa lakini Kama Unajina lenye heshima anaweza kukubali kuishi na wéwe na Kutumia.
Àndiko Hili nimeliandika nikilenga kukuhamasisha kijana upambane, onyesha wewe NI Nani hasa, onyesha wewe NI Mwanaume àmbaye Mwanamke yeyote atajivunia wewe.
Usiwe legelege, jina Lako litadharauliwa. Hakuna atakayeliheshimu jina Lako.
Na kama jina Lako haliheshimiwi Basi hata Mkeo na Watoto na kizazi chako hakitaheshimiwa.
Chochote unachofanya kifanye Kwa weledi na Ñguvu zako zote kuhakikisha unajenga heshima.
Hata kama unashona Viatu, Shona Kwa kiwango cha juu, kwako pataitwa Kwa Fulani mshona Viatu mashuhuri. Hiyo NI heshima kûbwa kuliko kuzubaa zubaa.
Wewe ni Mwanaume hakikisha jina Lako unalilinda na kulipa thamani ili Mungu alikuze na watu wakuheshimu.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Tunajali basi, kujua au kutokujua kwao sio shida zetu.Wageni ndîo wanawatambua hivyo.
Ila wènyeji WANAJUA ninyi Hapo siô kwenu
Sawa.Mwanaume kuwa active.
Ujûmbe Hapa unalenga Wanaume tuendelee kushikilia wajibu na majukumu yetu. Tuwe strong, tupambane, tuwe hodari na mashujaa automatically Majina yetu yataleta heshima kwèñye familia na jamii Kwa ujumla.
Uanaume upo ndàni na nje ya Mwanaume Husika
Jina ni Moja ya nembo ya Mwanaume.
Ndîo maana Watoto wengi wanaitwa Majina ya Mwanaume na siô Mwanamke.
Jina NI tukufu, Umiliki, na ufahari.
HUwezi kumtaja Mwanaume ukapuuzia jina lake. Jina ñdilo identity na ulinzi wa kizazi Siku àmbayo Mwanaume hatakuwepo.
Mungu anapombariki Mtu(Mwanaume )hubariki mambo yafuatayo;
1. Jina lake
2. Uzao wake.
3. KAZI yake
4. mji na Taífa lake.
Vijana lazima wawe Strong kuhakikisha hayo yanafanyika.
Unapozungumzia Mji Unazungumzia ufalme.
Mke anaweza Kutumia majina ya Mumewe na pasiharibike kitu. Mfano Kwa Maria Nyerere, Moja Kwa Moja Watu WANAJUA hiyo ni milki ya Nyerere.
Anazingua huyuKwamba mnataka na wanaume waanze kushinda vibarazani wakikuna nazi na kusukana ili wawe maarufu kuliko wake zao??
Ha ha ha! Umeongea kwa sauti ya Dk. Musukuma!Sasa wewe si ni msomi, umesomasoma kidogo
Kabisa, na kwa kuwa huwa mnashindwa majukumu tutaishia kujulikana sisi.
Mkuu hamna watoto?Kwanza mimi watu huwa wananiita kwa jina langu, sipendi kuitwa Baba fulani hata mke wangu namuita kwa jina lake.
Acha unafki wako wewe , upande wako unajulikana,Sitegemei kuendeshea maisha kisa Wanasiasa la hasha ila Nina switch accordingly na dance zao.
Wao wakatane hata miguu Mimi hainihusu walasiwezi ku sympathise nao maana wote ni matapeli wanatafuta kitu kimoja,washike Dola Kwa maslahi Yao na familia zao at our expenses
Hapa mkuu ndipo umefeli! Unalinganishaje mke na nchi jirani? Kwa hiyo kwako mke ni sawa na jirani? Yeye siyo mmiliki wa hiyo nyumba? Duh, kazi ipo!NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja
Kwa kweli wewe pumzika tu! Leo umetulisha uchafu! Yaani ushindane na mke ambaye vikundi vyote mtaani ni member! Tangu ulipohamia huo mtaani wa kwanza kujulikana alikuwa mke wako sasa utashindana naye vipi kwenye kujulikana!MKE WAKO WAKO ASIKUZIDI JINA, NYUMBA YAKO ITAMBULIKE KWA BABA AU MZEE FULANI NA SIÔ KWA MAMA AU BIBI FULANI.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Moja ya dalili kuwa Mwanaume umefeli ni Nyumba yako kutambulika Hapo mtaani Kwa jina la Mkeo.
Utasikia pale Kwa Mama Taikon, au Kwa Bibi Zeituni,
Nyumbani Kwa Mama Richard.
My friend ikifikia sehemu àmbayo NI yako alafu inatajwa Kwa Jina la Mkeo Jua kûna sehemu muhimu na nyeti umeshindwa kama Mwanaume na kama Baba.
Úkiwa kama Mwanaume muwajibikaji na unayejua majukumu yako jina Lako NI Moja ya Jambo nyeti kulilinda na kulikuza.
Siô Sifa nzuri Nyumba yako iitwe Kwa Jina la Mwanamke NI kwamba wewe Huna lolote. Wewe siô kichwa, wewe sio mtawala yàani upoupo.
NI Sawasawa na úwe Rais WA nchi hii alafu nchi jirani na Huko kimataifa Waiite nchi yako Kwa Jina la Makamu wako au Waziri Mkuu. Hiyo kiutawala Moja Kwa moja inaashiria kuwa Rais Hana chake Hapo.
Nyumba yako iitwe Kwa majina yako au ûkoo wenu.
Kwa Mzee Magufuli,
Kwa Mzee Kikwete,
Kwa Mzee Taikon
Kwa Mzee Mwinyi n.k.
Hata familia yako itambulishwe Kwa Jina laki au ubini wako.
Siô familia ya Mama au Bibi Fulani nop. Hiyo siô dalili nzuri kiutawala.
NI dalili ya kuwa haukuwa active enzi za ujana wako.
Moja ya mambo àmbayo Mungu alimuahidi Ibrahim ni kukuza jina lake na alilikuza. Hata Watoto na wajukuu wake Miaka nenda rudi huitwa Watoto na kizazi cha Ibrahim.
Pia hujulikana kama Mungu wa Ibrahim, Isaka na Yakobo.
Au Mungu wa mababu zetu.
Kitendo cha kukubali Mkeo au Mwanamke akuzidi kete ni kuruhusu Miaka ijayo aitwe Mungu wa Bibi zetu Jambo ambalo kiutawala hasa WA kiroho halipo.
Familia ambazo mama amebeba jina huwaga hazinaga kizazi kirefu Katika mafanikio.
Jina Lako lina thamani. Thamani hiyo lazima Uilinde.
Kiasi kwamba Siku ukiwa haupo Watoto na wajukuu zako wajivunie jina Lako.
Hata Mwanamke hujivunia kuitwa jina la Mwanaume mwenye heshima na legacy Kwa Wakati wake.
Mwanamke Hawezi kubali kubadili jina la ûkoo wake na kuitwa jina Lako kama hajivunii wewe, kama anakuona hujielewi.
Anakuona wewe sio shujaa,
Wanawake wanapenda Wanaume mashujaa, Malegend.
Mwanamke unaweza kukosa Pesa lakini Kama Unajina lenye heshima anaweza kukubali kuishi na wéwe na Kutumia.
Àndiko Hili nimeliandika nikilenga kukuhamasisha kijana upambane, onyesha wewe NI Nani hasa, onyesha wewe NI Mwanaume àmbaye Mwanamke yeyote atajivunia wewe.
Usiwe legelege, jina Lako litadharauliwa. Hakuna atakayeliheshimu jina Lako.
Na kama jina Lako haliheshimiwi Basi hata Mkeo na Watoto na kizazi chako hakitaheshimiwa.
Chochote unachofanya kifanye Kwa weledi na Ñguvu zako zote kuhakikisha unajenga heshima.
Hata kama unashona Viatu, Shona Kwa kiwango cha juu, kwako pataitwa Kwa Fulani mshona Viatu mashuhuri. Hiyo NI heshima kûbwa kuliko kuzubaa zubaa.
Wewe ni Mwanaume hakikisha jina Lako unalilinda na kulipa thamani ili Mungu alikuze na watu wakuheshimu.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa Sasa Dar es salaam
Ukute jamaa hata halijaoa linakuja kutujaza ujinga huku mtaani!Kuna vitu havizuiliki, fanya mengine.