Kama ana kazi bado anatamaaa ya nini?Sio golikipa ni mfanyakazi pia ,si unajua kabla ya kufua lazma acheki mifuko ina nini
Kwani wewe ni Mwanaume?Wakwangu sikuhizi anauliza chenji hata ya 2,000
Maana yake mume wanguKwani wewe ni Mwanaume?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] visimbi vya hela vitam sanaaanaaAnayo mkuu,ila wanawake mnapenda mabaki ya hela sana
Dada kumbe umewahiwa?Wakwangu sikuhizi anauliza chenji hata ya 2,000
Sasa shem asipokagua si atafua nguo na mifuko ya utam??Jitahid usahau hata pakti za ndom mfukon..ataacha kabisa tabia yake yakusachi mifuko bila utaratibu maalum
wakwako mkeo "" !?? Aiseee haya mapyaWakwangu sikuhizi anauliza chenji hata ya 2,000