Mke wangu alalamika

Mke wangu alalamika

Ketoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2015
Posts
1,117
Reaction score
1,966
Jana mke wangu ameamua kufunguka akisema "Kabla ya mwaka 2015 alipokuwa anachukua nguo zangu kufua alikuwa anakuta kwenye suruali na mashati,elfu 5000,2000,1000,20000, na 500

Lakini siku hizi hata sh 100 haipati kwenye suruali

Nimeshindwa la kumwambia imebidi ninyamaze tu
 
Mwambie vyuma vimekaza alafu mtafutie biashara saivi hakuna umuhimu wa kuwa Golikipa
 
Back
Top Bottom