chuma cha mjerumani
JF-Expert Member
- Dec 4, 2013
- 11,541
- 23,999
kwanini umefikiria ulivyofikiria,Mkeo hana kazi nyingine ya kufanya mkuu zaidi ya kukufulia?!
Nimewaza tuu,.mpaka kufikia hatua ya kulalamika ina maana kuna mahali ipo shida,.kwanini ukefikiria ulivyofikiria,
labda alikuwa anatania... ila mke hata kama anao mshahara wake....Nimewaza tuu,.mpaka kufikia hatua ya kulalamika ina maana kuna mahali ipo shida,.
........[emoji4][emoji4][emoji28]labda alikuwa anatania... ila mke hata kama anao mshahara wake....
Khaaaa...!!
nakusalimu sheikhKhaaaa...!!
Mwambie kuanzia 2020 mwezi wa December mambo yatakuwa poa mwambie atakuwa anakuta hadi LakiJana mke wangu ameamua kufunguka akisema "Kabla ya mwaka 2015 alipokuwa anachukua nguo zangu kufua alikuwa anakuta kwenye suruali na mashati,elfu 5000,2000,1000,20000, na 500
Lakini siku hizi hata sh 100 haipati kwenye suruali
Nimeshindwa la kumwambia imebidi ninyamaze tu
Jana mke wangu ameamua kufunguka akisema "Kabla ya mwaka 2015 alipokuwa anachukua nguo zangu kufua alikuwa anakuta kwenye suruali na mashati,elfu 5000,2000,1000,20000, na 500
Lakini siku hizi hata sh 100 haipati kwenye suruali
Nimeshindwa la kumwambia imebidi ninyamaze tu
Hahaha afue tu kwa pamojaSasa shem asipokagua si atafua nguo na mifuko ya utam??
Mhenga Huyo tabibuDada kumbe umewahiwa?