Jana mke wangu ameamua kufunguka akisema "Kabla ya mwaka 2015 alipokuwa anachukua nguo zangu kufua alikuwa anakuta kwenye suruali na mashati,elfu 5000,2000,1000,20000, na 500
Lakini siku hizi hata sh 100 haipati kwenye suruali
Nimeshindwa la kumwambia imebidi ninyamaze tu