Mke wangu alalamika

Mke wangu alalamika

Jana mke wangu ameamua kufunguka akisema "Kabla ya mwaka 2015 alipokuwa anachukua nguo zangu kufua alikuwa anakuta kwenye suruali na mashati,elfu 5000,2000,1000,20000, na 500

Lakini siku hizi hata sh 100 haipati kwenye suruali

Nimeshindwa la kumwambia imebidi ninyamaze tu
Ulivyozitenga nikajua budget ya nchi
 
Back
Top Bottom