Mke wangu aliniacha na kwenda kuishi X wake, sasa anataka turudiane

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Mke wangu aliniacha na kwenda Kuishi na X wake sasa anataka turudiane?

Mwaka 2017 nilimfumania mke wangu na X wake, mwanzo niliona meseji baada ya kumbana sana alikubali kuwa alikua na mahusiano na X wake na kuniomba msamaha, lakini baada ya kama wiki mbili hivi niliwakuta sehemu tena wamekaa, ilikua ni kama mtu na mpenzi wake, niliumia sana na nilipojaribu kuongea na mke wangu alinijibu vibaya, alinitukana mbele ya yule mwanaume na kuniambia kuwa hanitaki aliolewa na mimi kwa bahati mbaya.

Niliondoka kwa aibu kwani mimi ndiyo nilienda kufumania lakini mke wangu alikua kanikana mbele ya X wake. Nilirudi nyumbani nikidhani labda mke wangu atarejea lakini hakurudi mpaka baada ya siku tatu, alikuja na kuchukua watoto wetu wawili ambao ni mapacha, wakati huo walikua na miaka miwili.

Nilimuomba sana asiondoke lakini hakujali kabisa, aliniambia kuwa hanitaki na kama nataka aniachie wanangu basi ataniachia. Nilijaribu kuwachukua wanangu wa miaka miwili, kusema kweli niliumia sana kwani walikua wakimlilia Mama yao na mimi niliona kama wanamahitaji kuliko ninavyowahitaji mimi.

Nilimuambia abaki nao na kweli aliondoka nao, lakini baada ya kama wiki moja hivi, huku mimi nikihangaika kwenda nyumbani kwao kujaribu kuongea na ndugu zake ili wanisaidie mke wangu kurudi nyumbani haikua hivyo. Aligoma kurudi nyumbani na kumbe tayari alishanichafua kuwa nilikua nampiga kila siku, nimemtelekezea watoto na sitaki kuhudumia.

Kwa namna alivyokua kanichafua kwa ndugu zake nilishindwa hata kujelezea na kuonge kitu kilichotopkea. Nilirudi nyumbani, lakini baada ya wiki mbili tena nikiwa kazini nilipigiwa simu na majirani kuwa wanangu wamekaa nnje kwangu na mabegi yao.

Nilirudi nyumbani harakaharaka na kukuta mabegi ya watoto pamoja na wanangu wa miaka miwili, kulikua na ujumbe unasema “Lea wanao mimi nina maisha yangu!” nilijaribu kumpigia simu mke wangu lakini namba zake zote zilikua hazipatikani. Sikua na namna zaidi ya kuwahcukua wanangu, niliwalea mwenyewe tangu mwaka huo 2017, sikumsikia mke wangu wala kujua yuko wapi.

Sehemu alipokua akifanya kazi aliacha na hakuna ndugu wala rafiki yake aliyekua tayari kuniambia alipokua. Sababu ya kuja kwako kuomba ushauri ni hivi, kuna mwanamke naishi naye, hatujafunga ndoa bado ila ni kama mke wangu.

Tangu wakati huo mke wangu alikua hajawahi kunitafuta hata kupiga simu kuulizia kama watoto wanaendeleaje. Lakini tangu mwezi huu uanze kamtafuta mwanamke tunayeishi naye, kaanza kumsumbua kuwa aachane na mimi kwani mimi ni mke wake, huyo mwanamke ni mfanyakzi serikalini, kwa nafasi yake akijulikana kama anatembea na mume wa mtu basi itakua shida kwake kazini.

Anamsumbua sana na anataka kurudiana na mimi, ananiambia kuwa sitakua na amani na yupo tayari kufanya kitu chochote ili rurudiane. Nilikuja kugundua kuwa kumbe yule X wake alikua kaoa, alimdanganya kuwa kagombana na mke wake kumbe haikua kweli, alienda kumpangishia nyumba wakawa wanaishi pamoja kama mke na mume kumbe mke wake alikua kikazi mkoani.

Pia alimuachisha kazi na kuwa Mama wa nyumbani, sasa hivi ana mtoto mmoja na huyo mwanaume ila anakazania kuwa anataka kunirudia. Kusema kweli bado nampenda mke wangu na ndiyo maana nilikua sitaki kudai talaka, nilikua na imani kuwa ipo siku atarudi na kweli karudi. Shida inakuja kwa huyu mwanamke ambaye naishi naye, ananipenda sana na kanifanyia mambo mengi sana.

Kuna mambo mengi kichwani, hivi nikimuacha atajisikiaje, amenisaidia sana, kuna kipindi nilikua kama nimechanganyikiwa baada ya kuachwa na mke wangu, nikapoteza mpaka kazi, akahangaika na mimi bila kuchoka mpaka nimekua sawa. Nashindwa kuelewa nifanye nini ili nisimuumize, mimi bado ni mume wa mtu, hata kama mke wangu alinikosea lakini hatujawahi kuachana.

Nyumba tunayoishi sasa hivi nimejenga na huyu mwanamke, ingawa kiwanja alinikuta nacho lakini kwa kiasi kikubwa kama asilimia 90 ni pesa zake. Hiki kiwanja nilinunua kipindi nikiwa na mke wangu, siwezi kumuachia hii nyumba sasa nawaza nitamtoaje hapa.

Nina mtoto naye mmoja na nampenda sana mwanangu, yaani nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? Vipi kuhusu mke wangu je ni kweli atakua kajifunza ananipenda au ni kwakua kaachwa na X wake, naomba ushauri kwani naona kama maisha yangu yamesimama, nashindwa kujua ni kwa namna gani naweza kuendelea bila kumuumiza yoyote!

NB: OFA! OFA! OFA! Kwa Wanaume Ambao Wanasumbuliwa Na Mahusaiano
 
Ni makosa makubwa mwanaume kumpenda mwanamke, mwanaume Una uwezo wa kureason na kutoendeshwa na Hsia , mwanamke huo uwezo Hana , hvyo ukimpenda ukampa Hsia zako lazima akuumize ..!! Mwanamke awe na Hsia na ww na ww kazi yako ni kumjali kama hyo haipo terminate mapema Sana !!! Niseme Tu kuwa ulikuwa mjinga kufanya yote uliyoyafanya na bado unarudia ujinga huo huo , hsia za mwanamke ndo ubongo wake na ndo akili yake na huwa hazidanganyi kama hana hsia na ww wala usihangaike!!! achana nae na hsia zao huwa zinapenda kumwadhibu vikali mwanaume anayemngangania japo yeye hampendi

Ww sio mwanaume wa ndoto zake anarudi kwako kwa sababu wew ni mjinga na dumping place kwake pale mambo yanapomuendea isivyo …!! Mungu hakuwa fala kusema ishi na mwanamke kwa akili, ila hakumwambia mwanamke aishi na mwanaume kwa akili
 
Hii picha inaelezea kisa chako
 
Attachments

  • downloadfile-107.jpg
    downloadfile-107.jpg
    575.7 KB · Views: 7
Mke wangu aliniacha na kwenda Kuishi na X wake sasa anataka turudiane?

Mwaka 2017 nilimfumania mke wangu na X wake, mwanzo niliona meseji baada ya kumbana sana alikubali kuwa alikua na mahusiano na X wake na kuniomba msamaha, lakini baada ya kama wiki mbili hivi niliwakuta sehemu tena wamekaa, ilikua ni kama mtu na mpenzi wake, niliumia sana na nilipojaribu kuongea na mke wangu alinijibu vibaya, alinitukana mbele ya yule mwanaume na kuniambia kuwa hanitaki aliolewa na mimi kwa bahati mbaya.

Niliondoka kwa aibu kwani mimi ndiyo nilienda kufumania lakini mke wangu alikua kanikana mbele ya X wake. Nilirudi nyumbani nikidhani labda mke wangu atarejea lakini hakurudi mpaka baada ya siku tatu, alikuja na kuchukua watoto wetu wawili ambao ni mapacha, wakati huo walikua na miaka miwili.

Nilimuomba sana asiondoke lakini hakujali kabisa, aliniambia kuwa hanitaki na kama nataka aniachie wanangu basi ataniachia. Nilijaribu kuwachukua wanangu wa miaka miwili, kusema kweli niliumia sana kwani walikua wakimlilia Mama yao na mimi niliona kama wanamahitaji kuliko ninavyowahitaji mimi.

Nilimuambia abaki nao na kweli aliondoka nao, lakini baada ya kama wiki moja hivi, huku mimi nikihangaika kwenda nyumbani kwao kujaribu kuongea na ndugu zake ili wanisaidie mke wangu kurudi nyumbani haikua hivyo. Aligoma kurudi nyumbani na kumbe tayari alishanichafua kuwa nilikua nampiga kila siku, nimemtelekezea watoto na sitaki kuhudumia.

Kwa namna alivyokua kanichafua kwa ndugu zake nilishindwa hata kujelezea na kuonge kitu kilichotopkea. Nilirudi nyumbani, lakini baada ya wiki mbili tena nikiwa kazini nilipigiwa simu na majirani kuwa wanangu wamekaa nnje kwangu na mabegi yao.

Nilirudi nyumbani harakaharaka na kukuta mabegi ya watoto pamoja na wanangu wa miaka miwili, kulikua na ujumbe unasema “Lea wanao mimi nina maisha yangu!” nilijaribu kumpigia simu mke wangu lakini namba zake zote zilikua hazipatikani. Sikua na namna zaidi ya kuwahcukua wanangu, niliwalea mwenyewe tangu mwaka huo 2017, sikumsikia mke wangu wala kujua yuko wapi.

Sehemu alipokua akifanya kazi aliacha na hakuna ndugu wala rafiki yake aliyekua tayari kuniambia alipokua. Sababu ya kuja kwako kuomba ushauri ni hivi, kuna mwanamke naishi naye, hatujafunga ndoa bado ila ni kama mke wangu.

Tangu wakati huo mke wangu alikua hajawahi kunitafuta hata kupiga simu kuulizia kama watoto wanaendeleaje. Lakini tangu mwezi huu uanze kamtafuta mwanamke tunayeishi naye, kaanza kumsumbua kuwa aachane na mimi kwani mimi ni mke wake, huyo mwanamke ni mfanyakzi serikalini, kwa nafasi yake akijulikana kama anatembea na mume wa mtu basi itakua shida kwake kazini.

Anamsumbua sana na anataka kurudiana na mimi, ananiambia kuwa sitakua na amani na yupo tayari kufanya kitu chochote ili rurudiane. Nilikuja kugundua kuwa kumbe yule X wake alikua kaoa, alimdanganya kuwa kagombana na mke wake kumbe haikua kweli, alienda kumpangishia nyumba wakawa wanaishi pamoja kama mke na mume kumbe mke wake alikua kikazi mkoani.

Pia alimuachisha kazi na kuwa Mama wa nyumbani, sasa hivi ana mtoto mmoja na huyo mwanaume ila anakazania kuwa anataka kunirudia. Kusema kweli bado nampenda mke wangu na ndiyo maana nilikua sitaki kudai talaka, nilikua na imani kuwa ipo siku atarudi na kweli karudi. Shida inakuja kwa huyu mwanamke ambaye naishi naye, ananipenda sana na kanifanyia mambo mengi sana.

Kuna mambo mengi kichwani, hivi nikimuacha atajisikiaje, amenisaidia sana, kuna kipindi nilikua kama nimechanganyikiwa baada ya kuachwa na mke wangu, nikapoteza mpaka kazi, akahangaika na mimi bila kuchoka mpaka nimekua sawa. Nashindwa kuelewa nifanye nini ili nisimuumize, mimi bado ni mume wa mtu, hata kama mke wangu alinikosea lakini hatujawahi kuachana.

Nyumba tunayoishi sasa hivi nimejenga na huyu mwanamke, ingawa kiwanja alinikuta nacho lakini kwa kiasi kikubwa kama asilimia 90 ni pesa zake. Hiki kiwanja nilinunua kipindi nikiwa na mke wangu, siwezi kumuachia hii nyumba sasa nawaza nitamtoaje hapa.

Nina mtoto naye mmoja na nampenda sana mwanangu, yaani nimechanganyikiwa sijui nifanye nini? Vipi kuhusu mke wangu je ni kweli atakua kajifunza ananipenda au ni kwakua kaachwa na X wake, naomba ushauri kwani naona kama maisha yangu yamesimama, nashindwa kujua ni kwa namna gani naweza kuendelea bila kumuumiza yoyote!

NB: OFA! OFA! OFA! Kwa Wanaume Ambao Wanasumbuliwa Na Mahusaiano
Yaani ungekuwa karibu ningekuzagamua na makofi ya masikio hadi damu zikutoke upate akili punguani mmoja wee.
 
Hii ni story ya kutunga, na kama kweli huyo mwanaume atakuwa boya na zuzu.
 
Mwanaume kukosa namna ya kufanya Hadi unaomba ushauri Kwa kitu kidogo hivo ni ujuha wa kiwango cha juu kabisa na haifai kuitwa mwanaume.
 
Back
Top Bottom