Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

Sema sana,Cheka sana.ila omba Mungu yasikukute
 

Mkuu wewe si ndio umeleta uzi kwamba umetoka South Afrika kama miezi mitano au mitatu sasa,na ulikuwa unafanya kazi ya duka na umenusurika kufa baada ya duka kuchomwa moto?​

Ukisoma vizuri utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…