Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

Mme wangu hawezi Fanya usenge uo ,jibu swali mkeo hajambi ukiwa unamtia?
Mwanaume gani unajisifia kama una mme.. soma vizuri hapo au punguani wewe unasahau kama ni mwanaume au mwanamke
 
Mwanaume unaanzisha familia mpya anytime, watoto hawawezi kuwa chanzo cha kudhalilika asee. Mke akiondoka kwangu harudi hata kwa mtutu wa bunduki.
Inabidi niwe mkweli, nimechiti zaidi ya mara mia sijakamatwa na mke wangu so sijui yeye amechit mara ngap?
 
Kwa hyo mkeo hana marinda. na.wewwe.unlijua.hilo.na huna.waswas.

Hongera kwakutombewa mkuu

Hv mnakaa wapi vile
Unaweza ukanicheka mm kumbe na wewe unapigiwa kila siku na mke wangu ni kiongozi wa kutoa ndogo na haujui kitu mkuu, bora mm nimejua naenda kumpima magonjwa makubwa kila baada ya mda

Wewe haujui upewe ngoma ufe nayo
 
Siwez kumuadithia mtu ninayemfahamu ni fedhea, hapa najarbu kutema nyongo ili roho yangu iwe safi
Sawa, ila Sema JF is where we dere

Siogopi kuulaanika kwa mtu aliyebeba faragha zangu

Naweza kubadilika kwa namna nyingi nimkataee

Sema Kuna faragha hata katika utambulisho fake bado unajipata na inakera sana

Na Zaidi inakera kushirikisha
 
Bora uiteme nyongo mkuu kuliko kukutesa moyoni akilini, ukiitema humu na akujui mtu then unapona, kuliko ikutafune ndani kwa ndani
 
Kwasababu hakuna ushahidi wa mwanaume kuchiti ila mwanamke akichiti iko siku atarudi na ushahidi tu.
Lazima nijiangalie upande wangu, vip? Wewe haujawahi kuchit na vip mtu wako akichit utamsamehe
 
Habari zenu wakuu

Maisha ni kusameheana

Uchumi wangu ni mzuri tu ni wa kati, nikisema uchumi wa kati wengi mnanielewa, nyumba nzuri, biashara nyingi, kazi nzuri, tunakula tunachotaka, mke wangu alikuwa anavaa mavazi ya gharama anayoyahitaji ,ndani fenicha nzuri za kutosha, tv touch screen inch 100, maisha mazuri kiujumla

Kuhusu show, namchapa show ya kutosha mpaka analiaga, yoooh yoooh nzuri endelea, oooh basi pumzika acha, toa kwanza, naomba nipumzike dk 5 kwanza.. wengi mnaelewa mipinduko ya kutosha

Kabla hajaondoka kwa muarabu nilizaa naye watoto mapacha wawili wa kike, now wana miaka 3

Katika mabiashara akakutana na huyo muarabu na nikashtukia katika uhusiano wetu wa kindoa, nikaona huyu kuna kitu ananificha

Siunajua ukiwa upo vizuri kiuchumi unakuwa na watu wa karibu wa kukupa maneno ya hapa na palee, wakanipa full story kuhusu mahusiano yake na muarabu

Usiku mmoja aliniaga anaenda kwenye shughuli na nikamruhusu na nikampa na gari ndogo aende nayo ila niliweka gps-location kwenye gari nijue anaenda ukumbi gani

Na alinambia atarudi saa 9 usiku, si unajua shughuli za usiku maukumbini huko, kumbe hakuwa anaenda ukumbini na location ikanionyesha walipoenda kula bata na huyo ponjoro wa kiarabu, ni mtu mzima na bonge pia

Nikachukua watu wangu wa karibu kama wawili hivi na kuanza kuifatilia hiyo gps-location , tukawakuta wapo hotel ya nyota 5 huko mjini ***** napastili

Kufika hapo nikaanza kutumia pesa kidogo ili waweze kunipa chanse ya kwenda kuwafumania na nilianza kuwatisha kama mtu mwenye cheo fulani kwa mkwara mzito na kutishia kuifungia hiyo hotel kwa figisu figisu za mjini

Wa kanipa full detail na nikafanikiwa kuingia mpaka chumbani nikawakuta na huyo jamaa, kibaya zaidi alikuwa mwanamke wangu wa ndoa

Ilikuwa ni fedhea kwa kweli, ameacha watoto nyumbani na wadogo kipindi hicho walikuwa bado wananyonya, yaani kwa kupagawa na waarabu na kwangu kila anachotaka nampatia, alinifedhehesha sana

Baada ya kumuhoji alinambia yupo tayari tuachane na kweli nilifata utaratibu nikampa taraka kwa muongozo wa mahakama

Mwarabu alimbadili dini akamuoa baada ya mda mfupi alimuacha kwa dharau na matusi mengi..

Nafikiri anaweza kuwa alifata michezo ya wasichana wa mjini kwa mwarabu, nikisema michezo ya wasichana wa mjini mnaelewa na mimi hivyo vitu situmii so nahisi tu ila sina uhakika..

Aisee siwezi kuwalaumu wanawake wote, ila huyo kitendo alichofanya ni kibaya sana, na waenga wanakwambia kuku wako manati ya nini?

Alirudi kwa vilio na magoti na misamaha mingi sana na hakukuwa na budi tu ilibidi nimsamehe na tuendelee na maisha kwani tumeshazaa na tuna watoto si vyema kuacha watoto walelewe na mzazi mmoja

Tukabidi tufate utaratibu na kufunga ndoa tena na sasa ana ujauzito tunatarajia kupata mtoto

Ndoa ni jambo la kheri sana na ukilipata unatakiwa ulilinde kwa nguvu zote misuko suko na mabonde kwenye ndoa yapo tu , kusameheana ni nguzo kubwa kwenye ndoa

Nikimfumania tena safari hii simsamei, nitatafuta mwanamke mwengine nitamuoa

Nampenda sana mke wangu ❤️
Umekagua marinda?
Waarabu wanapenda sana harufu ya nnya!
 
🫖👉☕
 
Lazima nijiangalie upande wangu, vip? Wewe haujawahi kuchit na vip mtu wako akichit utamsamehe
Kwanza, naheshimu maamuzi yako. Pili bila kuzingatia kama nimewahi kuchit au hapana ila siwezi kusamehe aliyonichit na siwezi kumrudia niliyemuacha kama yeye ndiye aliyetaka aachwe.
 
Mkuu wewe si ndio umeleta uzi kwamba umetoka South Afrika kama miezi mitano au mitatu sasa,na ulikuwa unafanya kazi ya duka na umenusurika kufa baada ya duka kuchomwa moto?​

Ndio uzuri wa JF.Risiti hazipo mbali.Vijana wana maisha feki na kwa kukosa kumbukumbu wanadanganya tu huku wapo kwa shemeji.
 
Haaa!!! Eeee we si ndyungii!!!

Sasa ungefanyeje?
 
Habari zenu wakuu

Maisha ni kusameheana

Uchumi wangu ni mzuri tu ni wa kati, nikisema uchumi wa kati wengi mnanielewa, nyumba nzuri, biashara nyingi, kazi nzuri, tunakula tunachotaka, mke wangu alikuwa anavaa mavazi ya gharama anayoyahitaji ,ndani fenicha nzuri za kutosha, tv touch screen inch 100, maisha mazuri kiujumla

Kuhusu show, namchapa show ya kutosha mpaka analiaga, yoooh yoooh nzuri endelea, oooh basi pumzika acha, toa kwanza, naomba nipumzike dk 5 kwanza.. wengi mnaelewa mipinduko ya kutosha

Kabla hajaondoka kwa muarabu nilizaa naye watoto mapacha wawili wa kike, now wana miaka 3

Katika mabiashara akakutana na huyo muarabu na nikashtukia katika uhusiano wetu wa kindoa, nikaona huyu kuna kitu ananificha

Siunajua ukiwa upo vizuri kiuchumi unakuwa na watu wa karibu wa kukupa maneno ya hapa na palee, wakanipa full story kuhusu mahusiano yake na muarabu

Usiku mmoja aliniaga anaenda kwenye shughuli na nikamruhusu na nikampa na gari ndogo aende nayo ila niliweka gps-location kwenye gari nijue anaenda ukumbi gani

Na alinambia atarudi saa 9 usiku, si unajua shughuli za usiku maukumbini huko, kumbe hakuwa anaenda ukumbini na location ikanionyesha walipoenda kula bata na huyo ponjoro wa kiarabu, ni mtu mzima na bonge pia

Nikachukua watu wangu wa karibu kama wawili hivi na kuanza kuifatilia hiyo gps-location , tukawakuta wapo hotel ya nyota 5 huko mjini ***** napastili

Kufika hapo nikaanza kutumia pesa kidogo ili waweze kunipa chanse ya kwenda kuwafumania na nilianza kuwatisha kama mtu mwenye cheo fulani kwa mkwara mzito na kutishia kuifungia hiyo hotel kwa figisu figisu za mjini

Wa kanipa full detail na nikafanikiwa kuingia mpaka chumbani nikawakuta na huyo jamaa, kibaya zaidi alikuwa mwanamke wangu wa ndoa

Ilikuwa ni fedhea kwa kweli, ameacha watoto nyumbani na wadogo kipindi hicho walikuwa bado wananyonya, yaani kwa kupagawa na waarabu na kwangu kila anachotaka nampatia, alinifedhehesha sana

Baada ya kumuhoji alinambia yupo tayari tuachane na kweli nilifata utaratibu nikampa taraka kwa muongozo wa mahakama

Mwarabu alimbadili dini akamuoa baada ya mda mfupi alimuacha kwa dharau na matusi mengi..

Nafikiri anaweza kuwa alifata michezo ya wasichana wa mjini kwa mwarabu, nikisema michezo ya wasichana wa mjini mnaelewa na mimi hivyo vitu situmii so nahisi tu ila sina uhakika..

Aisee siwezi kuwalaumu wanawake wote, ila huyo kitendo alichofanya ni kibaya sana, na waenga wanakwambia kuku wako manati ya nini?

Alirudi kwa vilio na magoti na misamaha mingi sana na hakukuwa na budi tu ilibidi nimsamehe na tuendelee na maisha kwani tumeshazaa na tuna watoto si vyema kuacha watoto walelewe na mzazi mmoja

Tukabidi tufate utaratibu na kufunga ndoa tena na sasa ana ujauzito tunatarajia kupata mtoto

Ndoa ni jambo la kheri sana na ukilipata unatakiwa ulilinde kwa nguvu zote misuko suko na mabonde kwenye ndoa yapo tu , kusameheana ni nguzo kubwa kwenye ndoa

Nikimfumania tena safari hii simsamei, nitatafuta mwanamke mwengine nitamuoa

Nampenda sana mke wangu ❤️
siwezi kumrudisha mpumbavu alieondoka kwa kunidhalisha..mimi mwenyewe ni binadamu na nina wazazi , mimi sio nguruwe, paka au mbwa mimi mwenyewe nina thamani kwenye jamii yangu na kushindwa kuitetea thamani wewe utaonekana kuwa fara tu......
 
Back
Top Bottom