Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

Nakubaliana na wewe mia fil mia. Kwanza wenye hela ya kubadilisha mboga wanapata wapi muda wa kukaa kinenani hadi half time! Yaani nisiwaze tanker zangu kama zimefika salama, nikawe busy kuitafuta SIKU YA GULIO!! Kweli?
Hauwezi uka-perform the same kila jambo lako yaani hauwezi ukawa perfect namaanisha

Pengine show napiga nzuri kushinda wewe ila kwa vile siwezi kukudhibitishia tu hapo ndio tatzo linapoanzia
 
 
Huyo mwarabu alimla ndongo shekhe CHUNGUZA hajambi jambi siku hizi?
Siku hizi wanawake wa mjini wengi wanafanya hivyo vitu, tuwe makini tu kwenye mahusiano

Pengine hata wewe mtu wako anafanya huo mchezo
 
Mwaarabu alirequest papuchi hio kama usafiri wa Bolt, kafika safari yake kakuachia kibajaji chako🤣😂
 
Mwaarabu alirequest papuchi hio kama usafiri wa Bolt, kafika safari yake kakuachia kibajaji chako🤣😂
Ndoa ngumu Mkuu, ukiwa na hasira achana nayo unaweza ukafa au ukaua bila kutegemea
 
Siku hizi wanawake wa mjini wengi wanafanya hivyo vitu, tuwe makini tu kwenye mahusiano

Pengine hata wewe mtu wako anafanya huo mchezo
Mme wangu hawezi Fanya usenge uo ,jibu swali mkeo hajambi ukiwa unamtia?
 
Ndoa ngumu Mkuu, ukiwa na hasira achana nayo unaweza ukafa au ukaua bila kutegemea
Sio hasira tu hata ukiwa bwege utakufa huku unajiona, kama angechululiwa na Mzaramo,Mmakonde au Mweusi mwenzio ungemrejea huyo?.
 
Sema unachosimulia ni laana Papaaa ya afrika

Bantu mingi ukiiamsha usingizini utajua haujui
 
Sio hasira tu hata ukiwa bwege utakufa huku unajiona, kama angechululiwa na Mzaramo,Mmakonde au Mweusi mwenzio ungemrejea huyo?.
Ukiwa na akili hauwezi kuachana na mwanamke, akenda aende akirudi unakula mzigo kikubwa pima gonjwa kubwa kama hana usimuache ila kuna baadhi ya vitu unavipunguza
 
Mwanaume unaanzisha familia mpya anytime, watoto hawawezi kuwa chanzo cha kudhalilika asee. Mke akiondoka kwangu harudi hata kwa mtutu wa bunduki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…