Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

Ila hii stori kama Chai!anyway kama ni kweli basi mkeo ana mtaalamu wa ukweli😂😂
 
Una roho kaka
 
Cjasoma yote kama ile story yako ya Sauzi.
Kazi ni kipimo cha utu
 
Reactions: Tui
Kama hii sio stories ya kujitungia
Unatakiwa undiwe tume ya uchunguzi kama huyu dada Hana limbwata
 
Wakati ukiwa Sauzi?
 
Me nakuelewa sana, kipendacho roho bwana, unaweza kula hata nyama mbichi.
 
JF VAR CHECK

 

Vijana hawajui kwamba ukiwa muongo lazima uwe na kumbukumbu​

Hawajui Jf huwa tunatunza risiti

​

 
Mwanaume tu nikijua anakula nje namuacha.
Huwa nawaambia sana vijana unajua kula kwa mama ntilie kwa mtu aliyeoa ni usaliti

Usipo ushughulikia mapema ukaota sugu we kwisha kabisa
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…