Mke wangu alipata muarabu akaolewa naye, wakaachama akarudi kwangu nikamuoa tena

Nafikiri anaweza kuwa alifata michezo ya wasichana wa mjini kwa mwarabu, nikisema michezo ya wasichana wa mjini mnaelewa na mimi hivyo vitu situmii so nahisi tu ila sina uhakika..
Sasa hiyo michezo umeanza kumpa au umemuacha aendelee kuibiwa na mwarabu mkuu? Na je, mliachana kwa miaka mingapi? Mwarabu alifaidi sana aisee!
 
Chai ya suturungi.. JF kwishney hamna nyuzi za kukata ishu siku bali ujinga mwingi.
 
Haya ndio maamuzi ya kiume.
 
Umefanya vizuri.

Haya jiandae na wewe kuolewa.
 
Mhh
 
Wengine sisi hatupendi kunywa chai bila vitafunwa nipate maandazi ya buku 7, chapati zile za buku 8 na vitumbua vya buku 9 niongezee na bakuri moja ya chai ya buku 2
 
Sasa hiyo michezo umeanza kumpa au umemuacha aendelee kuibiwa na mwarabu mkuu? Na je, mliachana kwa miaka mingapi? Mwarabu alifaidi sana aisee!
Mkuu hiyo chai, story ya kutunga kabsa hiyo.. nawachangamsha kidogo
 
Huu uzi kama kuna kauongo sehemu ila kama muhenga nasema “mlamba asali……….?
Litakukuta jambo
Nawachangamsha mkuu, mke mwenyewe sina, nimeona mmepoa sana humu jf
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…