Mke wangu alirudi kwa ex wake siku ya ndoa yangu

Mkuu umefunga ndoa tarehe 29 june,ila bado unatafakari hatua za kuchukua hadi Leo! Au ulimaanisha tarehe 29 December labda...BTW inawezekana hukumkaza vizuri (ungekaza vizuri asingekuwa na nguvu ya kwenda kwa jamaa siku iliyofata)
 
Hili nalo litapita tu japo ni zito sana

Ndoa bwana
 
IQ yako kiduchu utaelewaje sasa? Mbona kaeleza vzr tu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…