The Worst
JF-Expert Member
- Sep 12, 2021
- 6,108
- 21,140
Labda kama sikuielewa hii line umesema kitu kama IQ zenu zinaendana?,na ni baada ya kum-challenge....right???nimekutana na mtoto mkali.
Katika kumchallenge nikaona kidogo IQ yake na yangu zinaendana Basi nikafanya kila kitu hatimaye nikatoa mahari na kupanga siku ya harusi.
Nilitaka nikulaumu kwa nini bado upo nae but niliporudi juu kuupitia tena huu mstari nikajua kumbe wote mlikutana pipa na mfuniko coz kama uliweza kumuona ni smart lakini bado akaweza kukuacha hotel tena siku ya pili ya ndoa akaenda kuuchezea na wewe hadi muda huu hujui ufanyeje kweli mpo timamu ninyi?