Mke wangu alirudi kwa ex wake siku ya ndoa yangu

Pole ila Hili bandiki lina kasoro kadhaa.
1. Mwezi june una siku 30 na sio 31 kama ulivosema.
2. Inaonekana tukio lilifanyika siku nyingi lkn bado unasema "unatafakari hatua za kuchukua". Mpaka saiv Januari bado unatafakari tu?
 
Wakishaachika potepote kwa upumbavu wao ndipo ujifanya mafeminist wanaharakati wa kuwapotosha watu kuhusu ndoa Ili waponje vidonda vyao kwa msiba wa wengi harusi.
 
Pole ila Hili bandiki lina kasoro kadhaa.
1. Mwezi june una siku 30 na sio 31 kama ulivosema.
2. Inaonekana tukio lilifanyika siku nyingi lkn bado unasema "unatafakari hatua za kuchukua". Mpaka saiv Januari bado unatafakari tu?
🤭🤭
 
Sasa Habari ya mwezi Juni,30 unatuambia Leo ili iweje.
We mwenyewe the way unavyoiandika ni kama hujitambui-ndio utakosa kutombewa.
 
Alafu siajabu huyo G anamla jicho mkeo ohooo

Ova
😂😂😂 G anachezea tope la mke wa mtu, wanawake pasua kichwa utakufa huku unajiona alafu yeye anaolewa tena G anaendelea kumpakua jicho
 
Hii ni Ndoige inampata mtu awaye yeyote
 
Na wewe endelea kumla Suzan unasubiri nini.

Kuchapiwa ni jambo kawaida mkuu kama huwezi kuhimili maumivu ya kuchapiwa kataa ndoa
 
Yaan humu jf kama umeoa na unamoyo mwepesi unaweza kujikuta siku unarud home unamuacha mkeo na kumfukuza aende kwao maana kilasiku nyuzi za kugongewa wake zinaongezeka mbaka sielewi kila nikiingia jf lazima kwanza nikutane na nyuzi mtu kagongewa mkewake [emoji848]
 
Shida yako uli underestimate her past, ingekuwa draft umefungwa super, kwenye boxing umepigwa KO, you deserve this bruv, na wanaume wengi wanafeli hapo cuz they're so needy to their women till wanakuwa vipofu or they don't know how to play interrelationship games, mwanamke akikuzidi game utadharirika sn.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…