Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Huyo yupo ktk grief moment na kutishia kujiua ni defence mechanism ya kumuonea huruma ikiwa ameshafanya makosa. Hii huwa inatumiwa na wanawake wengi wakijiona wamefanya makosa makubwa na hawana pa kujitetea.

Akihisi anakumudu kwanza huanza kua mkali na kukutengenezea mazingira ya kukufokea ili ujichanganye umchape makofi kisha kesi ikurudie wewe kua umempiga kwa kumuonea. Ikishindikana atajiliza kutaka huruma yako. Wakiona mambo mazito ndio wanatishia kujiua sasa.

Utakua boya sana ukimsamehe moja kwa moja mtu msaliti wa namna hiyo.

Niliwahi kuishi na mdada mmoja, tena alikua single mother na nilkua namtimizia mahitaji yake yote pamoja na mwanae na biashara nikamfungulia. Akawa anacheka cheka ovyo na wapangaji (hasa wa kiume) na kugawa gawa namba zake njiani. Mwisho wa siku akanipiga tukio nikakuta sms za ajabu ajabu ktk cm yake zikionyesha anamegwa na nyngne akiwa anaelekea kumegwa tena na washkaji zangu wa karibu. Nilipomuweka mtu kati akaleta pigo za kutaka kujiua.

Nilichokifanya sikupanic, nikapretend nimemsamehe huku mdogo mdogo nikaanzisha mji mwngne. Nilipohama ndio ikawa mazima na mpaka sasa anaishi ingawa daily hachoki kutuma text za kuomba turudiane na maisha yamemchapa. Mwanamke msalilti is for the streets bro. Muache aende zake you deserve something better.
📌📌😁😁
 
Kwani akijiua tatizo liko wapi jombaa uhai si-niwakwake muache ajiue , Huyo anachofanya anajaribu kuku brain washe 🤣🤣😁 udhani kwamba anajutia alicho kifanya Ili umsamehe anajaribu kutafuta sympathy toka Kwako na Kwa watu wenu wa karibu , Always gals wote wako hivyo wakishazingua jambo la kwanza Huwa Wana pretend kwa kujiuliza Liza ukiwa boya tu ukijaa na kujifanya umuonee huruma itakula kwako usidhani kwamba itakuwa ndio mara yake ya mwisho kukusaliti ,, subiri kuona akimpa uroda ndugu Yako wa karibu baada ya wewe kumsamehe ,, All in all pole sana I feel yah pain nigga
 
Nitumie namba za mkeo pm mkuu. Nina jambo langu nae. Tuma na picha.
 
Kagongewa hadi vichochoroni na kwenye jumba bovu? Fantasy zote wamepitia... Wameenjoy Sana hao aisee
Hamna penzi tamu kama la uchochoroni. Mwenye ndoa mwenyewe hajawahi kupewa penzi kwenye jumba bovu.
 
Story za Facebook za kutunga unaleta jf sasa hapo unataka ushauri wa nn
 
Usimsamehe huyo alafu uone kama anajiua. Wewe hujiulizi kwa nini alishika kisu mpaka uliporudi ndo kashika kisu na katishia kujiua? Na hizo msg zisingeguliwa na huyo bibi mkeo asingekwambia kua anafanya umalaya huo.
 
Usimfanye chochote keshajutia makosa yake, kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa isitoshe hyo n mkeo we ishi nae tu km hakuna kilichotokea cha msingi akamuombe yule bi mkubwa msamaha
 
Ngoja niende moja kwa moja kweye mada husika, jana mida ya saa 10 jioni nilipokea simu kutoka kwa bi mkubwa mmoja wa makamo kidogo miaka kama 55 hivi, huyu bi mkubwa alikuwaga jirani yangu nilipokuwa nimepanga mwanzo na mpenzi wangu.

Baada ya kupokea simu yake alianza kujitambulisha mimi ni mama X hapa jirani yako ulipohama, samahani mwanangu naomba tuonane kuna jambo muhimu sana, nikamjibu sawa mama ila saa hz natoka kazini nikifika nyumbani nitakuja huko kwako akajibu sawa naomba uje usikose nakuomba sana, nikamjibu sawa hakuna shida. Niliitikia wito wa kwenda bila kujua kuna jambo gani limetokea.

Sasa wakati nimerudi nipo nyumbani napata chakula mke wangu yupo pembeni nilimuona akiwa kwenye mawazo sana hadi nikamuuliza unawaza nini?, alichonijibu akasema “hamna siwazi kitu”…nilipomaliza kula nikamuuliza tena una shida gani mbona leo umepooza sana, ndio akaanza kuniambia kuwa kuna jambo limetokea ila anaogopa kuniambia, nikamwambia niambie tu hakuna shida, akaanza kufunguka akitanguliza msamaha kwanza “samahani sana naomba unisamehe huku akilia” nikamwambia niambie kuna nini, akaanza kulia tena nisamehe hamy eti mama X amekuta msj zangu kwenye simu ya mume wake msj ambazo ni za muda sana nilikuwa nachat na mume wake ndio kaziona leo. Kiukweli nilipata presha kidogo nikasema okay hakuna shida, mimi nitaenda huko kwa mama X kuona hizo msj.

Nikampigia yule bi mkubwa nikamwambia mama ndio nakuja huko kwako nikukute akasema sawa, nilipofika kwa yule bi mkubwa akaniambia “mwanangu samahani sana kitendo alichokuwa ananifanyia mke wako ni kibaya sana, hapa nilipo hata sijui nifanye nini?, ila nitamfanya kitu kibaya mke wako”, aisee nilishtuka sana nikamwambia kuna nini?, ndio bi mkubwa akanipa simu akiniambia angalia hizo msj za mke wako alivyokuwa wanawasiliana na mume wangu. Daaah nilikuta msj za hovyo sana tena sana wanawasiliana mara wakutane gest wanayoendaga, mara wakafanye mapenzi kwenye jumba, mara vichochoroni, mara chumbani kwake yaan mzee alikuwa anavizia mke wake akiwa hayupo anamuingiza mke wangu chumbani kwake anaenda kula tunda, mara chooni yaan msj kibao za hovyo, wakati nasoma zile msj yule bi mkubwa alikuwa akilia hadi baadhi ya majirani wa pale wakaja na wao wajue nini kinaendelea ndio bi mkubwa akaanza nae kufunguka “yaan huyu mtoto ambae ni mke wangu, lazima nimfanye kitu haiwezekani kabisa atembee na mume wangu alafu aniache mimi hapa nateseka na familia”, ndio majirani nao wakaanza kufungua, mbona sisi tulikuwa tunajua hayo mambo lakn tulikuwa tunaogopa kuongea maana tungesababisha mauaji, nikasema okay mama hakuna shida.

Nikaondoka zangu wakati nipo njiani nilikuwa na hasira sana, nilipofika nyumbani nikamkuta mke wangu analia sanaa huku amesika kisu bora nijiue mimi nitaenda wapi sasa, nisamehe mume wangu nimekosa nisamehe sana, aisee tukaanza mikimiki pale ya kumpokonya kisu kwanza kabla ya mambo mengi, nikabahatika kumpokonya kisu huku bahati mbaya kikiwa kimemkata mkononi damu kama zote, sasa wakati nilipokuwa kwenye harakati za kumpokonya kisu kumbe nje majirani walikuwa wanasikia zile kelele zake ndipo majirani nao wakaja ili wajue kuna nini, kufika pale wanakuta damu kama zote huku mm nikiwa nimeshika kisu mkononi, mke wangu yupo chini analia “naomba unisamehe hammy nisamehe mimi nitajiua usiponisamehe”, yaan hadi naandika haya sijui hata nimfanye nini huyu mwanamke [emoji51]…..?

Umeshamsamehe? Maana hilo ndio ombi lake
 
Apo si mshabadilishana chukua jimama wewe miaka 55 sio mingi sana unakwama wapi kijana
 
Jasir huwa haachi asili, kama n mwanamke ambaye hajatulia n hajatulia tu hata kama ukahama hapo mnapoish ataenda toka na wengne huko makaz mapya.

Ingawa wanasema kosa s kosa, lkn kurudia kosa ndyo kosa lenyewe. Uamuz n wako mtoa mada je, moyo wako unakuambiaje?! Umuache ama umsamehe kwa kuwa amekutishia kujiua, kujiua s rahs hvyo angekuwa amemaanisha kujiua ungemkuta ashajiua.

Mwanamke hawez kumudu mabwana wawiwili, n lzma atampenda mmoja na kumdharau mwngne. Muombe Mungu/Allah akupe mwangaza wa kufanya maamuz yny busara
 
Huyo mzee si ndio yule alikuwa analea familia yako ukipigika? Ulitegemea ilikuwa for free? Kama ulivumilia kuona message za miamala kwenye simu ya mkeo sioni cha ajabu kuona message za kuliwa vumilia tu mzee mpaka utakapopata uhuru wako wa kiuchumi.

ahahaha hhaa huyu mwingine
 
Back
Top Bottom