Mke wangu alitembea na mume wa mtu, sijui nifanye nini

Mwanamke wa hivo ,hamna kusamehe !!


Sasa unasemehe nn hapo???


Mimi huyu nilishamwambia, Siku ukijijua umefanya ujinga na nimeujua.


Kwa angalau kujitunzia Heshima,, Wewe sepaa mwenyewe mapema !!

Bila hivo NITAKUDHALILISHA .
kusema hapa ni rahisi sana nivile hatujuani huko mitaani! Halafu mambo ya ndoa yana Siri nyingi mkuu! Wanandoa hawaachani kirahisi hivo!
 
Yaani comments za wanaume mnamuona huyo dada hafai wakati mpo wenye ndoa na michepuko kibao. Mwanaume malaya pia hafai[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..
Mtoa mada hujawahi kuchepuka?
Hapo chacha!!
 

Hujui cha kufanya? Kweli? Basi hata sis hatujui
 
Infidelity kwa ndoa za karne imekuwa tatizo kubwa sana.

Kaa na mke wako muyamalize, ukisema umuache huenda ukakutana na kimeo cha kwenda. Hopefully na wewe at some point in your marriage umeshawahi kucheat.🤣
 
kusema hapa ni rahisi sana nivile hatujuani huko mitaani! Halafu mambo ya ndoa yana Siri nyingi mkuu!
Wewe banaa, Angalia hata Aina ya Mwanaume anayoyasema haya.


Mimi sijawah nyenyekea Mwanamke, na Nina amini, mwanamke uhusiano wake namimi ni tumbo lake tu KUBEBA WATOTO .

Sasa kama Wanawake wanaozaa ni karibia wote, Yann nihanganike Nawewe????

Yaan embu niambie, kwamba unann mpaka nihangaike Nawewe???kwamba bila wewe nitakwama?? Kwamba wee ndio mwenye papuchi??

Kwa harakaharaka, Wewe kama mwanamke, Huna Cha kuniongezea chochote kile kwenye Maisha yangu,,, Yann sasa????.


HAITOKAAA ITOKEE MAISHAN MWANGU HATA SIKU MOJA.


endeleen kushukuru mnakutana na wanaume aina ya Harmonize, kulia Lia kisa Ujinga , wanaume waliowaoa sababu nanyie Ke mna mnakazi zenu Et Tujenge Maisha pamoja matokeo yake, wanaume Wamepoteza uanaume ,Wanawake wenye vikazi vyao mmejiona nanyie ni wanaume Decision Maker ,mna Uhuru wa kufanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaumiza ila kwa vile ameomba msamaha msamehe kwa condition kwamba siku akirudia ndo red card hapo hapo sahizi mwambie anatembea na Kadi ya njano.

Msisitize hakuna usaliti utaufanya ukabaki kuwa siri.

Nae ni binadamu naamin amejifunza kupitia tukio hilo.

Huenda sahiz akawa good people kuliko ukaoa mwingine nae akakuumiza.

Kikubwa pima afya yake kama yupo poa endelea na maisha ya kawaida, trust me sahiz atakuheshimu zaid ya before.

Only strong people Forgives.!
 
Nachokichukia ni upuuzi na ujinga unaoitwa umbea katika maisha yangu... Narudia tena. Nachokichukia ni upuuzi na ujinga unaoitwa umbea katika maisha yangu....

Ngoja nikuambie kitu/jambo....

Siku zote ujinga au chochote kilichowahi kutokea au kilichokuwa kiko kimya masikioni na vichwani mwa watu. Utakapojaribu kuviamsha au kuvigusa vilipukapo vitaathiri si wewe Tu Bali mustakabali wote wa Maisha yako....

Tujifunze kufumbia macho yeyote mabaya au mazuri hasa tutokapo kwenye nyumba au jamii tulizokuwa nazo hapo awali


Pole Boss
 
Weee akikumbuka kuwa ilichomoka alafu mrembo akairudisha mwenyewe kwenye mbususu unapata hasira sana.
 
Unajiongelea wewe kama wewe na moyo wako na yes una
maamuzi yoyote juu ya maisha yako. Binadamu tumetofautiana usilazimishe kila mmoja aishi maisha yako!
 
Kagongewa hadi vichochoroni na kwenye jumba bovu? Fantasy zote wamepitia... Wameenjoy Sana hao aisee
 
Women are complex creature, hadi sasa hakuna jibu sahihi wanawake huwa wanaridhika na nini.
Tuendelee kuishi nao kwa akili!!
 
Yan ubaya wa mtaani ni kwamba, raia wote wanakuwa wanajua machafu ya mtu wako, kasoro ww tu [emoji28][emoji28]
 
Ww ungemuacha ajiue...anakutishia Kama panya road na ww unatishika...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…